Je, BASATA wamemlazimisha Dudubaya, anaomba msamaha kwa familia isiyojulikana

Je, BASATA wamemlazimisha Dudubaya, anaomba msamaha kwa familia isiyojulikana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wakuu

Nimebahatika kuona video fupi ya msanii tumain ngerela AKA DUDUBAYA akiomba msamaha.

Anaonekana kabisa kalazimishwa na watu fulan afanye hivyo, ukisikiliza vizur anaomba msamaha kwa jamhur ambayo anaitaja jina kuwa ni Tanzania na anaomba msamaha kwa baraza nalo pia analitaji jina kuwa ni basata pia anaomba msamaha kwa wananchi nao anawataja kuwa ni watanzani anafika kuiomba msamaha familia ambayo haitaji jina kuwa ni familia ya nan wa wapi na iko wapi.

Je huyu jamaa kalazimishwa ili aachiwe kifungo chake au kuna nini maana juzi aliitwa basata na akatakiwa aende na ada anayodaiwa

Kwanini anaomba msamaha kwa familia isiyojulikana je familia hiyo ni ya nan na kaikosea nini?


LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom