Je, bei ya alzeti kwa sasa ni kiasi gani?

Je, bei ya alzeti kwa sasa ni kiasi gani?

makundubhyali

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
2,389
Reaction score
886
Wakuu habari za mchana . Mimi ni mkulima nina alzeti kiasi cha gunia 100 nataka kuziuza ili nijiandae na kilimo cha mwakani, naomba mnunuzi au anayehitaji tusawasiliane, ziko Dodoma kama kilometa saba kutoka barabara kuu ya Dom -Dar. Mnunuzi aweke bei hapa ili kuwasaidia na wengine walio na mzigo.
 
Back
Top Bottom