Je, Ben pol na Anerlisa wamefunga ndoa?

Ndoa ilifungwa kitambo sana( mwaka jana mwanzobi),ilifanyika nairobi,mzee wa ben pol ni rafiki yangu wa karibu alinunuliwa suti moja matata toka italy,walitumiwa ticket yeye na mkewe kwenda nairobi kwenye ndoa na harusa,kwa hiyo huyo demu ni mke halali kabisa wa ben
 
Una mahusiano na mmoja kati yao such that unataka kuwawekea pingamizi ?
 
Asante kaka, kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…