Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT wazalendo mh Bernad Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalumu wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu.

Ngoja tuone!
Sisi hatujui
 
Bila ya shaka Kikwete na Mkewe wanampigia debe arudishwe ili akagange njaa. Nasikia hali yake kifedha si nzuri hivyo kama kweli atarudi basi sidhani kama atakosa teuzi kubwa ya ubalozi katika nchi za BEBERUS au hata UN.
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu.

Ngoja tuone.
 
Bila ya shaka Kikwete na Mkewe wanampigia debe arudishwe ili akagange njaa. Nasikia hali yake kifedha si nzuri hivyo kama kweli atarudi basi sidhani kama atakosa teuzi kubwa ya ubalozi katika nchi za BEBERUS au hata UN.
Amepiga goli dk ya 90,jamaa kaguduka guduuuu,!!!
 
Back
Top Bottom