Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
nakushukuru sana ichenjezya kwa majibu yakoKila biashara na TIN yake,coz makadirio ya kodi yanatokana na aina ya biashara na Location ya biashara hiyo...
yes, ninayo EFD machine.Hapo salon una EFD machine? Maana hiyo machine inakuwa ina TIN yako, sasa ukifungua biashara nyingine sidhani kama TIN moja inaweza kuwa na EFD machine mbili.
Thats right.Kama mumiliki ni yule yule huwezi kuwa Na TIN namba nyingine ndugu. Hapo utapata makadilio kwa tin ile ile Boss