Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
wadau naomba kuuliza. mimi nina biashara ya salon ya kiume 'barber shop' ambayo nina TIN number iliyoandikwa kwa jina langu na jina la hiyo salon, ila hivi sasa ninataka niongeze salon ya pili, kwa kufungua salon nyingine yenye jina lingine mahali pengine. Je, ninatakiwa kuomba TIN number nyingine TRA kwaajili ya salon hii mpya? nitashukuru sana kwa majibu yenu wadau.