Je, biashara ni kutia faida kubwa au kupata wateja wengi?

Moshi wa Kumbi

Senior Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
165
Reaction score
100
Ndugu wana jamvi,

Nimeleta uzi huu ili tusaidiane mawazo,

Mimi nataka kufungua duka jirani na duka lililopo awali, lakini ninapanga kwamba ili nipate wateja wengi basi kitu niweke faida ndogo mfano tomato paste inauzwa 400 mimi niweke 350 ili kama mwezangu anauza boksi moja kwa wiki mimi nipate boksi moja kwa siku 3.

Je itakua ananidai au namzidi kibiashara?

Wataalam njooni mniweke sawa
 
Kwa biashara muhimu uwe na customer base kubwa ili uwe na mzunguko mkubwa katika biashara yako.
 
Iyo faida utayoipata usisahau kugawana na bi mgalu [HASHTAG]#chuma[/HASHTAG] ulete#
 
Mimi nauliza biashara ya duka la kawaida, mtaji wake unarange kiasi gani, nnapokaa frame kibao afu maduka yapo mbali
 
Mimi nauliza biashara ya duka la kawaida, mtaji wake unarange kiasi gani, nnapokaa frame kibao afu maduka yapo mbali
Kwa kuangalia ww mwenywe unatapa shida gan ya manunuzi kwa eneo unalokaa
Fungua duka then weka hapo na mpesa au Tigo pesa hautajuta ila tafyta usimamiz mzur tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…