Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Ndugu wana jamvi,
Nimeleta uzi huu ili tusaidiane mawazo,
Mimi nataka kufungua duka jirani na duka lililopo awali, lakini ninapanga kwamba ili nipate wateja wengi basi kitu niweke faida ndogo mfano tomato paste inauzwa 400 mimi niweke 350 ili kama mwezangu anauza boksi moja kwa wiki mimi nipate boksi moja kwa siku 3.
Je itakua ananidai au namzidi kibiashara?
Wataalam njooni mniweke sawa