Je, biashara ya supermarket inalipa?

Je, biashara ya supermarket inalipa?

Kevoo The Don

New Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Nataka kuanza biashara ya supermarket je, inalipa naomba mawazo yenu kwa wale ambao washawahi kuengange na hiyo biashara.
 
Swali lako ulilouliza hutoweza kupata jibu straight kwa sababu factors nyingi sana.
Factors mojawapo ni location na pia utaalamu wako wa kufanya marketing.
Kama huna utaalamu wako wa kufanya marketing ni mdogo bidhaa nyingi zitakuwa zinakuozea unazitupa na kupata hasara.
Kumbuka bidhaa nyingi za supermarket ni perishable goods na zinakuwa na expire date so unatakiwa uwe na mbinu za kuziuza kwa spidi kubwa ili vinunuliwe kabla havijaharibika.
So kama utaanziisha kisha uwe umekaa tu unangoja wateja waje wenyewe kununua itakula kwako.
 
JIBU hili hapa
 
Retail business especially ya supermarket yes inahitaji good marketing strategy (hapa ni kabla hata ya kufunguliwa na baada ya kufunguliwa kwa hiyo store).

Location matters yes ila sio wakati wote, good marketing can bring clients/customers from far kuifuata, so hapa point kubwa na kujiandaa katika kufanya marketing (hasa kwa Tz) japo after sometime ukiwa umefanya good marketing kubwa mwanzoni basi mbeleni haitakupa shida.

Siku hizi ili kuondoa risk hasa kwenye vitu vinavyo expire kwa urahisi, kunatumika different strategy na contracts on how to work with suppliers.

Vitu vya kuzingatia mtoa mada ni hivi[emoji116]

1- Jua customers wako wanataka nini (hasa vile vitu ambavyo huwa wanahitaji na hawavipati kirahisi)

2-Lazima utengeneze/uige system nzuri ya kumanage inventory (inventory management ni muhimu sana) zingatia kua na watu makini kwenye hili. Huu ndio moyo wa store yako, hili swala linaweza kukupa faida kubwa ikifanyika vyema au hasara kubwa kama ikifanyika vibaya. I can teach you more about inventory management hasa ya supermarket kama utahitaji, ila vya kuzingatia ni lazima uwe na ABC analysis, kama
a)kuzingatia muda
b)Economic order quantity (EOQ)
c) VED analysis-hii takuelezea zaidi cas inaufafanuzi mwingi ila inahusu sana kusu umuhimu na faida bidhaa husika kuanzia mpangilio wa order zako nk.
d)Jinsi unavohifadhi products zako kwenye stores kuepusha damage na shrinkage, hii pia ni muhimu sana sana kujua warehouse yako inakua na arrangement zipi.
e)Technology yako utakayotumia kwenye your daily operations kuanzia mambo ya pesa, cash register system, security issues etc sababu pia ukiwa na weakness kwenye hayo mambo staff wako watakufirisi hasa wabongo vile sio waaminifu.

Ni mambo mengi kidogo ya kuzingatia siwezi andika yote hapa ila nikutie moyo tu unaweza kuianzisha na ukafanikiwa fresh tu sababu pia hii business inahitaji ujanja mwingi to run it kwa masuala ya kupata more customers na faida.

3-
 
Umeongea vitu vya maana naona ameelewa
 
Back
Top Bottom