Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Kama Uzi unavyosema hapo
Naishi Dar es Salaam. Nataka kupata uzoefu ambao utanisaidia na utasaidia kwa watakaofuatilia Uzi huu, kuhusu biashara hii kwa ambao walishaifanya na hata kwa wenye uelewa nayo hii biashara.
Ahsanteni!