Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Naombeni msaada kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Ila na wewe unatafuta nini? Stories za kijiweni ndio unaenda kumfanyia mkeo majaribio? Kwani wewe ulivyompenda kigezo kilikuwa ni bikira? Na kama sio achana na hiyo biashara na ukome kumuuliza mkeo maswali ya kipuuzi. Saasawa?
 
Mkuu mnaamin hyu bashite anamke??lijari gani unaweza muuliza mkeo upupu kma huo?yy mwnywe hajui hta bikra inatolewa vpi[emoji35] [emoji35]
 
Umemuona Paka na unamjua fika Paka halafu unamuuliza mwenzio huyu ni mnyama gani? Naye anajua fika unamjua huyo ni Paka, akikujibu kwa usahihi naye ni shidaaaa!!!
 
Mambo ya kuulizana bikra au wapenzi wa nyuma,
Akikihadithia yote utaweza vumilia?
Au ndio kila kosa unarefer nyuma
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom