Hahahahah umetisha mkuuBikra zimeadimika miaka hii kama vyeti vy Bashite
Pamoja sana bibieHahahahah umetisha mkuu
Sasa ww ndio umetisha jasho la kuku duuhHahaaa ni kweli mkuu adim sana kama jasho la kuku
Coz labda unamuuliza uliza sana na huonyesh kumuamini ndo maana anakasirikaKama ilitoka kwa njia ulizotaja why akasirike
Upo kama mm kuna demu baada ya kugundua bikra nkaachana nae ila nkisha jua kabikiliwa tayari ntamfuata tena[emoji2] [emoji3]Sipendi nikutane kimapenzi na mwanamke bikra..!!
Mkuu kwani ww bikira itakusaidia nini? kama mmeshaoana, bikira ya kazi gani. maana sioni uhusiano kati ya ndoa na bikiraNaombeni msaada,
Kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia
Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time.
SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Utajuaje mkuu??Upo kama mm kuna demu baada ya kugundua bikra nkaachana nae ila nkisha jua kabikiliwa tayari ntamfuata tena[emoji2] [emoji3]
Asee siwapendi kabisa, wasumbufu mno,Sipendi nikutane kimapenzi na mwanamke bikra..!!
Swali la kizushi na we ulikua bikra, mana mwanaume timamu anaoa mwanamke mwenye kujitambua akili mbele na c bikra, nakuna bikra zaina nying nenda kasearch aina za bikra utaziona sio lazima uone damu inatoka ndio ujue umetoa bikra nyingine zinatoka kwa kuendesha baiskel, kucheza netball kuruka na vingineo, afu ushasema MKE, hivi kujua hx ya nyuma inakusaidia nn nafikir ungeanzia hapo mlipoanzia na kuendelea na c ya nyuma, mana kama nawe ulikua bikra bas bora umulize afu pengine alikua jamaa mwingine akimzingua afu Leo unaulizia bikra huon unamumiza acha hizo habar na bikra iliyotoka yenyewe cku ya kwanza kuna ugumu wakufanya hilo tendo,vijana Wa mwendo kas MNA kazNaombeni msaada,
Kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia
Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time.
SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
Alafu huo mda wa kuulizana hayo maswali unatoka wapiJaman bikra sio lazma itolewe na mwanaume kuna vitu kama kuendesha biskel kufanya kaz ngum au kuruka sehem ndefu na bikra sio lazma inapotolewa uone dam wengne awatoki sasa shda wanaume weng sio waelewa we kama kashakujbu mara moja bas usiulizeulize unamtia hasira tu