Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

Bikiraabikiraaa bikira nn apaaa we km hujaikutA basi si umechelewa mwenyewe, mnaonaga raaaha kutoa bikira ee
 
kwani jamani mkeo kakwambia ukweli haumini, unataka ukweli gani kutoka kwetu, kama mkeo tu humuamini sisi wapita njia utatuamini kweli????
Binadam n ngumu kumwamini kwan ata shetani alikuwa malaika lakini alifanya upuuz wa level ya juu
 
Ndugu usijitese bure. Nimeshashuhudia ndoa ikivunjika kisa mwanaume alibeba maneno ya vijiweni/mitandaoni akaenda kuanza kumuhoji mkewe kuhusu aliyemtoa bikra. Ugomvi ukawa mkubwa hadi ndoa ikavunjika. Ukweli ni kwamba wanaume wengi kama sio wote tungependa sisi tuwe ndiyo tuliotoa bikra za wake zetu. Lakini kwa hali ya jamii ilivyo sasa jambo hilo sio rahisi mana vijana wengi wanaanza ngono kwenye umri mdogo. Ningependa ulichukue hivi:

Si kila kitu tunachotamani kuwa nacho kwenye maidha haya tumefanikiwa kukipata. Na kuna vingine tumevikosa na tumekubali kwamba hicho tumekikosa na maisha lazima yaendelee. Inawezekana uliza darasa la saba ulitamani uchaguliwe shule fulani ya sekondari lakini haikuwa hivyo, au ulipokuwa form 4 ulitamani kupata Div One lakini haikuwa hivyo, au ulitamani uzaliwe kwenye familia ya kitajiri lakini haikuwa hivyo ukazaliwa na wazazi wenye kipato cha katu kama sio cha chini au maskinu kabisa. Ukakubali kukosa na maisha yakaendelea. Sasa hata la bikra kubali tu kwamba umeikosa na maisha lazima yaendelee na mke wako. Huwezi kupata kila unachotaka, yaangalie mazuri mengine ambayo mkeo anayo mfanye maisha yenu mzeeke pampoja kwa upendo. Achana na habari za bikra yake. Wala haitakupngezea heshima yoyote mbele ya jamii ya leo. Tena unapoongea hayo mbele ya watu wazima utaonekana akili yako haijakomaa. Kama hukulazimishwa kumchukua awe mkeo basi jitahidi kuyawaza mazuri yake kwanza wala usiyape nafasi kichwani mapungufu yake. Utamfurahia mkeo na mtazeeka wenye amani nyingi. Haya fanya haraka nenda kamnunulie zawadi umpelekee. Mwambie mke wangu leo JF imenifundisha kukomaa kiakili, nisamehe kwa kukuuliza habari za bikra, nimeamua kukupenda kama ulivyo pamoja na mapungufu yako yote. Nitakusitiri wala sitaenda tena kukutangaza JF naomba na mimi unisitiri mapungufu niliyonayo..... nakupenda mke wangu. Halafu mpe busu zito kwenye paji la uso kisha mkabidhi zawadi yake.
Kila la kheri...
 
Labda iwe hivyo!!! Ata mimi nikikuona hujui ulichokifanya ntakutunuku tu kua ndo ulikua wa kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka majiran wameshtuka kwa kicheko nilichocheka aiseee
 
Nillishawahi kumuuliza msichana mmoja kuhusu bikira yake.., akaniambia ilitoka alipoteleza sakafuni akiwa anadeki sakafu...! Nilicheka balaa..!
 
Si kila mara ufanyapo mapenzi na bikra damu hutoka wengine hupata maumivu ya kawaida bila damu kutegemeana na ustadi wa mfanyaji.hivyo yawezekana kweli wewe ndo ulimbikiri..kingine hayo si maswali mazuri kwa mwenza wako yanakera kiukweli..ni sawa na kumuuliza ulishatembea na wanaume wangapi!!kha!achana na maswali hayo
 
Maswali ya kijinga watu tunakutana na nyinyi mulishakuwa na watoto nje ya ndoa leo mnauliza bikra? Ujinga
 
Anyway...sijawahi kumtoa mwanamke bikra and i dont wish..
 
Kwangu mimi nafikiri kuna bikra za aina mbili.....
1.ni utu
2.kifaa

UTU
Bikra ambayo hutokana na dhana ya mwanamke kukutana na mwanaume kwa mara ya kwanza kimwili,haijalishi atatoa damu,hatatoa,kupga kelele n.k ila ndo mara ya kwanza kukutana na mwanaume

2.kifaa
Hii ni bikra ya kijiwambo cha ngozi kilicho kosa usumbufu na kujifunga ambacho ukikutana nacho na ukikipasua ndo husababisha damu na mwanamke hupga kelele....

Na bikra iliyobora kwangu ni ya kiutu...kama mkeo hana chembe za uongo basi muamini ila ukitaka hyo ya pili saizi dawa za kubana uke zpo hata aliezaa utamwona ni bikra
 
Jaman bikra sio lazma itolewe na mwanaume kuna vitu kama kuendesha biskel kufanya kaz ngum au kuruka sehem ndefu na bikra sio lazma inapotolewa uone dam wengne awatoki sasa shda wanaume weng sio waelewa we kama kashakujbu mara moja bas usiulizeulize unamtia hasira tu
Kama ilitoka kwa njia ulizotaja why akasirike
Sijawai mbikiri mwanamke yeyote ila kwa nnavyosikia lazima kuwe na ugumu kuingia. Kuwepo na utepe au kusikuepo.

Hii habari ngumu sana kueleweka.

Bikira ya chini inaweza kutoka mwanamke hata akipanda farasi au kucheza michezo tu. Lakini mawazo yake yakabaki safi,ya kibikira, hayajachafuliwa.

Na bikira ya chini inaweza kuwepo, lakini mawazo yake ni ya maaluni.
 
Hilo swali inatakiwa umuulize wakati ule unamtongoza, wewe umeisha mla ndio unauliza bikila inamana gani sasa?? Kibaya zaidi unamuuliza mkeo sizalau hiyo kwahiyo unataka kunshitaki kuwa alikuwa Malaya sana au sio mdau?? Acha utoto kama mkeo anakupenda na kukuheshim shukuru Mungu kwani wengine tulisha toa bikra na tujapendwa vile vile aangalia upendo wa kwel bikra haina ishu
 
Back
Top Bottom