Sisi binadamu hatujaumbwa na Mungu.
Kama vile wadudu wanavyotokea kwenye mzoga, hata sisi tumetokea hivyo hivyo.
🤣🤣🤣 Bora niamini hivyo kuliko kuamini kwamba tumeumbwa na Mungu mwenye Upendo wote halafu anaruhusu mabalaa yanawapata wanadam aliowaumba