Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Salaam,
Kila mara huyu Kanali wa JWTZ, msaidizi wa Rais namuona akiwa bega kwa bega na Mzee.
Maswali ya kujiuliza...
Je, hana likizo?
Hapata misiba au sherehe?
Je, haugui?
Au hana visingizio kama wafanyakazi wengine ili kukwepa majukumu?
Nawasilisha hoja.