beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Una uhakika na unachokiongea?Huyo siyo bodyguard Bali Ni kama mesenja tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika na unachokiongea?Huyo siyo bodyguard Bali Ni kama mesenja tu!
Kuna baadhi ya majukumu ukiyapta hata likizo na visingizio vyovyote vya kukufnya usiwe kazini havipo coz kuna maslahi mazuri labda tu itokee kama kuumwa sana au kupewa likizo ya lazima mfano ndo kma huyo msaidizi wa rais wakat rais anasain trip allowance naye anagonga zakeSalaam,
Kila mara huyu Kanali wa JWTZ, msaidizi wa Rais namuona akiwa bega kwa bega na Mzee.
Maswali ya kujiuliza...
Je, hana likizo?
Hapata misiba au sherehe?
Je, haugui?
Au hana visingizio kama wafanyakazi wengine ili kukwepa majukumu?
Nawasilisha hoja.
Unataka nikuthibitishie vp zaidi ya wewe kuona kabeba makaratasi?
Mkuu unatafutia watu kesi za uchochezi?Kuna kalinzi ka kike kulikuwa kanamlinda magufuli sikaoni siku hizi
Kuna baadhi ya majukumu ukiyapta hata likizo na visingizio vyovyote vya kukufnya usiwe kazini havipo coz kuna maslahi mazuri labda tu itokee kama kuumwa sana au kupewa likizo ya lazima mfano ndo kma huyo msaidizi wa rais wakat rais anasain trip allowance naye anagonga zake
Sent using Jamii Forums mobile app
bodyguard wa ra raisi kwanza hawi mmoja. hivyo anapata vyoye hivyo.labda mi niulize maraisi wa Africa hawanaga double? Yule mtu anakua kafanana na raisi mia. then anaweza tangulizwa sehemu kama raisi kwajili ya kuchanganya wataotaka kumzulu raisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unatumi Ka, usimdharau kwani mpaka kufikia pale kumlinda Rais atakuwa na vigezo vyote. Na hakuanza na JPM, alianza na JK mwishoni mwishoni. Huenda labda yupo likizo ya uzazi n.k lakini swali zuri maana na yule mwanamke mwingine pia naye siku hizi haonekani. Walikuwa wawiliKuna kalinzi ka kike kulikuwa kanamlinda magufuli sikaoni siku hizi
Mwenye nako atakua kakapiga mimba labda ebu ngoja waje wanaojua zaidiKuna kalinzi ka kike kulikuwa kanamlinda magufuli sikaoni siku hizi
Yupo aseeKuna kalinzi ka kike kulikuwa kanamlinda magufuli sikaoni siku hizi
Hiyo picha ya mwaka jana, ziara yake ya kwanza ya kushtukiza Wizara ya fedhaYupo aseemajukumu ni mengi![]()
Inategemea na circumstances huyo anaekaa nyuma muda wote sio bodyguard ni Mpambe ila pia Protection details inakuwa imemzunguka raisi na hawako na uniform, Huo uzungukaji unaweza usione
Inategemea na circumstances huyo anaekaa nyuma muda wote sio bodyguard ni Mpambe ila pia Protection details inakuwa imemzunguka raisi na hawako na uniform, Huo uzungukaji unaweza usione
Story za vijiweni hizi.bodyguard wa ra raisi kwanza hawi mmoja. hivyo anapata vyoye hivyo.labda mi niulize maraisi wa Africa hawanaga double? Yule mtu anakua kafanana na raisi mia. then anaweza tangulizwa sehemu kama raisi kwajili ya kuchanganya wataotaka kumzulu raisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kalinzi ka kike kulikuwa kanamlinda magufuli sikaoni siku hizi
Acha dharau basi Mkuu. Huyo unayesema ni Ka Kike na Kanamlinda nina uhakika ukisema ' uzichape ' nae kavu kavu utaomba ' mma ' mwenyewe na hata kwa uwoga wako na ' Kipondo ' kitakatifu kilichotukuka alichokupa unaweza mwenyewe ukaamuru Ofisi inayoratibu mshahara wako Ofini Kwako kila mwezi Mshahara wote wawe wanauelekezea kwako huyo ' Mwanamke ' mlinzi wa Magufuli.
Sorry Mkuu,sikuwa na nia mbaya.Namheshimu sana mwanamke