City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Kama wewe ni mtumiaji wa BOLT katika safari zako hapa town utakuwa umenotice mabadiliko makubwa sana kwenye huduma za hawa watu.
Nikiri wazi bolt na uber ni solution kwa usafiri hasa karika miji mikubwa yenye ubusy na michakato mingo sababu kuu za watu kutumia huduma hizi ni
Usalama
Uharaka
Unafuu na
Flexibility
Biashara hii imeanza kuondoa doa baada ya watoa huduma wengi kukiuka utaratibu
Karibuni nimepanda BOLT mara kadhaa na kugundua boda boda wengi wa BOLT sasa hawavai kofia ngumu, wanavyombo vibovu, hawaogi, wanasajili vyombo tofauti na vinavyofanya kazi, wanakatisha route na wamekuwa watu wa hovyo tofauti na mwanzo
Bajaji na magari wao ni wataalamu wa kukatisha route na kuomba abiria tip kwa lazima
Chondechonde tulikuwa tunatransform vizuri sana lakini upuuzi huo hapo juu umeondoa dhana nzima ya kuwa na service hii
Niombe watu wa BOLT kaeni chini tena mfanye tathmini, wekeni standards, fuatilieni watoa huduma wenu wanawapeleka shimoni
Ni hayo tu