Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Utafiti ulifanyika eneo gani mkuu. Maana kila kitu kinachotengenezwa lazima kunautafiti unafanywa a zaiidi ya yote lazima kufanywe majaribioRussia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wao wenyewe litawaangamiza?Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Japan walipiga Atomic sio nuclear.Ila ukweli Marekani na Urusi pekee wakiamua kuifuta dunia kwa masaa machache wanawezaHapana! Kumbuka Japan ilipigwa wakati wa vita kuu ya pili lakini mionzi haikusambaa nchi nzima!
Putin amesema wao wataenda mbinguni, ila trump atakufa!Chai jaba au Chai bora?
Alafu wakisha destroy hii planet nzima, wao watakuwa wapi? Mwezini au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atomic na nuclear ni kitu hicho hicho, ila lilikuwa 16 kilotons tu, ila Russia ameweka baharini 100 megaton bombs 32!Japan walipiga Atomic sio nuclear.Ila ukweli Marekani na Urusi pekee wakiamua kuifuta dunia kwa masaa machache wanaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ghafla kigagula umekula chura wa jangwani au kuna mtu amekudukua [emoji1787][emoji1787]Ndiyo.
Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).
Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.
Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.
Ghafla kigagula umekula chura wa jangwani au kuna mtu amekudukua [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bomu la nyukilia lililopigwa Hiroshima Nagasaki iliundwa na TNT uzito kiasi ganiHuwa sikisii. Kumbuka hilo.
Sasa hili asitumie, maana tutaumia hata tusiohusika kwenye ugomvi, tunaomba watumie busara katika hili na sio kutaka kutukomoa wote
Japan walipiga Atomic sio nuclear.Ila ukweli Marekani na Urusi pekee wakiamua kuifuta dunia kwa masaa machache wanaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hitler nae aliunda V1 the first cruise missile ikiwa na one tone nuclear warheadVery true, US na Russia kwa pamoja wana reserves za nuclear warheads za kutosha za kuangamiza dunia yote.
Also true that Hiroshima and Nagasaki were hit by A bomb.
Kwanini hakulitumia dhidi ya US?Hitler nae aliunda V1 the first cruise missile ikiwa na one tone nuclear warhead
Sent using Jamii Forums mobile app
V1 ilishindwa kupiga kwenye Target alitaka kupiga uingereza lkn haikufanikiwa,Kwanini hakulitumia dhidi ya US?
Basi nadhani Russia hatofanya makosaV1 ilishindwa kupiga kwenye Target alitaka kupiga uingereza lkn haikufanikiwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo.
Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).
Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.
Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.
Umekosea kijana, neno mripuko chanzo chake ni neno la Kingereza "rip". Kama vile chanzo cha neno gari ni motor car, Waswahili hatukuiondoa r wenye gari.Mripuko??? Mlipuko wewe bibi kizee, mganga hajigangi