Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Ndiyo.
Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).
Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.
Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.
Ni kweli kabisa, na madhara hayo hutokana na kile ambacho wataalamu hukiita "nuclear fallout" ambapo hutawanywa kwa njia ya hewa.
Watu wengi hawajui kuwa bomu la nuclear linapolipuka kuna kitu kinaitwa "mushrooming" ambayo hupanda hewani kutokea ardhini kilometa kadhaa na miale kubebwa na hewa na baadaye miezi,au miaka kutawanyika katika atmosphere yetu na kutuletea madhara bila kutambua.
Auntie Hicho ulichoongea hasa ndiyo majibu ya mada husika, kwamba hata kule ambapo mabomu hayatolipuliwa napo madhara ya mabomu (indirectly) yatapatikana baada ya muda fulani kupita.