Je, bomu la nuklia likipigwa Marekani au Ulaya, Tanzania tunaweza kufikiwa na mionzi yake?

Je, bomu la nuklia likipigwa Marekani au Ulaya, Tanzania tunaweza kufikiwa na mionzi yake?

Ndiyo.

Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).

Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.

Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.



Ni kweli kabisa, na madhara hayo hutokana na kile ambacho wataalamu hukiita "nuclear fallout" ambapo hutawanywa kwa njia ya hewa.

Watu wengi hawajui kuwa bomu la nuclear linapolipuka kuna kitu kinaitwa "mushrooming" ambayo hupanda hewani kutokea ardhini kilometa kadhaa na miale kubebwa na hewa na baadaye miezi,au miaka kutawanyika katika atmosphere yetu na kutuletea madhara bila kutambua.

Auntie Hicho ulichoongea hasa ndiyo majibu ya mada husika, kwamba hata kule ambapo mabomu hayatolipuliwa napo madhara ya mabomu (indirectly) yatapatikana baada ya muda fulani kupita.
 
Japani walipiga Atomic siyo nuclear!!!!???, sijui umeandika kitu gani hapo??[emoji16][emoji16][emoji16].
Nuclear bombs zipo of two types
1.atomic bomb ( concept yake ni fission)
2.hydrogen bomb ( concept ya fusion ). The second is more dangerous it is so powerful compared to the first one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PAKISTAN HAS CHINA, INDIA HAS?

1. USA (full support India if china support Pakistan)

2. ISRAEL (Indian side)

3. JAPAN (Old friend of India)

4. RUSSIA (Diplomatic) but towards India side

5. UK (Not on any side) but can support Pakistan secretly

6. France (Not on any side)

7. SAUDI ARAB (can support Pakistan,but secretly) will pretend to support India

8. Indonesia (old friend of Pakistan)

9. China (It will not join PAK in war,but will give weapon or money)

10. NORTH KOREA- North Korea will not participate from any side, But it will support INDIA for the sake of export/ import friendship.

11. South Korea- India don’t need their help,neither Pakistan because they themselves are in big danger 😉
Ni lazima nikuelewe!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea kijana, neno mripuko chanzo chake ni neno la Kingereza "rip". Kama vile chanzo cha neno gari ni motor car, Waswahili hatukuiondoa r wenye gari.

Kwanini nyinyi ambao lugha mama kwenu siyo mbadilishe?

Duuhh aiseee, Umetisha
 
Nuclear bombs zipo of two types
1.atomic bomb ( concept yake ni fission)
2.hydrogen bomb ( concept ya fusion ). The second is more dangerous it is so powerful compared to the first one

Sent using Jamii Forums mobile app


Hapo upo sahihi sana mkuu kwamba Nuclear bomb zipo za aina 2, lakini angalia huyo ndugu alichosema kwamba Japani lilipigwa Atomic bomb na siyo nuclear bomb ndiyo maana nikahoji kwani Atomic bomb siyo nuclear bomb!!?.

Hiyo uliyoiita Hydrogen bomb, majina yake mengine ni Fussion bomb,Thermal nuclear Bomb.

Ili kutengeneza hilo bomb la hydrogen (thermal nuclear/fussion), ni lazima kuwepo na stage 3, stage ya kwanza ni fission reaction (kiberiti) ,stage ya pili ndiyo fussion reaction ambapo hydrogen inabadilika kuwa Helium baada ya kuwa bombarded na neutrons kutoka kwenye hatua ya kwanza, katika hatua ya pili joto jingi huzalishwa ndiyo masna jina "thermal" limepatikana hapo pia hapo huzalishwa neutrons nyingi sana ambazo huenda kubombard uranium iliyopo kwenye hatua ya mwisho ambapo nayo ni fission reaction na hapo nguvu kubwa mno huzalishwa.

Kwa hiyo hydrogen bomb au thermonuclear bomb au fussion bomb linalipuka katika hatua tatu.

Fission----Fussion----Fission.

Hatua ya kwanza ni Atomic bomb, ya pili ni Hydrogen reaction to Helium na ya tatu ni Atomic bomb.
 
Kila nchi yenye nuclear in uwezo wa kutengeneza bomu kubwa wanavyotaka, ila makubaliano ni kuwa na mabomu ya nuclear yasiyo na destruction kubwa sana. Japo haizuii baadhi ya nchi kutengeneza mabomu makubwa kwa siri. Nuclear nyingi ni tactical, kama kwa ajili ya kuharibu maandaki ya chini nk. kwa bomu kubwa kama 100MT linaweza kuifuta new york yote, na radiation inaweza kufika sehemu za mbali ila sio kwa direct
 
Russia ina nuklia hydrogenic bomb ambayo ina destroye the whole planet in 72hrs....kwahiyo inategemea aina ya bomb itakaopigwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo wakipiga hilo libomu lao likaua dunia nzima wao watakuwa wapi wasizurike? Au watakuwa kwenye hivyo vi miji vyao vya aridhini bankers? Alafu ifadhi ya chakula ikiisha nao wanakufa
 
Hivi wanapotengeneza bomb afu hawazitumii nini faida ya kutengeneza
Readyness for war ni a strong reason for peace - utayari wa vita ndio sababu kuu ya amani. Hivi leo Tanzania tusingekuwa tayari kwa vita Malawi si angeshatuvamia? Ila kwa kuwa anajua uwezo wetu wa kivita basi amani ipo na hathubutu kutia mguu upande wetu wa ziwa nyasa. Hata US na Russia sababu ndio hiyo, kuna kuheshimiana baina yao kwa sababu kila mmoja anajua uwezo na utayari wa kivita wa mwenzake, hivyo wanaishia kuchokozana kwa vijembe tu, ila hakuna physical assault.
 
Kwa hiyo wakipiga hilo libomu lao likaua dunia nzima wao watakuwa wapi wasizurike? Au watakuwa kwenye hivyo vi miji vyao vya aridhini bankers? Alafu ifadhi ya chakula ikiisha nao wanakufa


Si ndiyo maana kuna mpangi wa "siri" wa kupunguza uzazi kwa waafrika ili huko kwao kukishakuwa hivyo baada ya vita wale manusura wakimbilie huku Afrika, kiukweli ni kwamba baada ya vita vya nuclear, mazingira ya kuishi huko hayatakuwa rafiki kwa viumbe hai vyote.na hapa nazungumzia juu ya Russia, Ulaya magharibi,China, India, pakistani, Mashariki ya kati (Israel) ,Irani na America ambao hao wote wanamiliki Silaha za nyuklia, ni Afrika na America kusini tu ndio hatuna hayo mabomu.
 
Readyness for war ni a strong reason for peace - utayari wa vita ndio sababu kuu ya amani. Hivi leo Tanzania tusingekuwa tayari kwa vita Malawi si angeshatuvamia? Ila kwa kuwa anajua uwezo wetu wa kivita basi amani ipo na hathubutu kutia mguu upande wetu wa ziwa nyasa. Hata US na Russia sababu ndio hiyo, kuna kuheshimiana baina yao kwa sababu kila mmoja anajua uwezo na utayari wa kivita wa mwenzake, hivyo wanaishia kuchokozana kwa vijembe tu, ila hakuna physical assault.


Hakuna "physical assault" hadi lini??, hilo ndilo swali la kujiuliza.

Atakapotokea kiingozi asiyeweza kustahimili na asiyejua thamani ya maisha ya binadamu basi hakuna kitakachozuia vita kutokea. Ni suala la muda na nani wa kuanzisha vita. A time will tell the tale.🤔🤔
 
Hivi wanapotengeneza bomb afu hawazitumii nini faida ya kutengeneza
Mfano kama N.Korea asingekuwa anamiliki Nuclear Bomb, N.Korea ingekuwa kama Iraq mda huu!

Kama Pakistan asingekuwa na nuke India hadi mda huu angesha mzibua kitambo Pakistan

Libya ingekuwa na Nuke mda huu ingekuwa peace hadi mda huu...
 
Back
Top Bottom