Naamini wapambanaji wenzangu mpo poa!
Naomba kujua wale manguli wa zile kazi za promotion a.k.a Bounty Taskier or Bounty Hunter mnapokutana na mimi nipate kuongeza Bounty Hosts.
Kule Bounty Hub kumefulia.
Tupeane mawazo freely, mambo ya PM, e-mail, tuma hela, n.k sio mchongo wakuu.
Upepo hausomeki, tupeane free bounties ili tupambane na hali zetu.
Karibu