Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

Mbona km hujajibu hoja zaidi ya kusifia na kutoa takwimu Tu,bhas tupe na ASA bhas.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo akiba hawaitumii kuendesha shughuri zao,haitumiki?
Mfano akiba 250000,inakaa kwao kwa umri wa mkopo.
Asum watu 500 wamechukua mikopo ktk tawi moja kwa mwezi.

HAWAKOMBOI WATU.
 
Wewe ni meneja wa tawi gani???
 
Akiba yako gani wakati wewe unataka kukopa? amka amka amka.
 
Sijawahi kutumia huduma za BRAC ila sidhani kama ni sahihi kuwafananisha na DECCI.

Hizi ofisi nimeshakutana nazo maeneo tofauti kwa muda mrefu sasa na kama wangekuwa na mauzauza sidhani kama wangeendelea kuwepo.

Pia masharti magumu ya kutoa mikopo wakati Mwingine husababishwa na Jamii yenyewe. Hivyo hebu na wewe Muhusika fanya tathmini ya unavyowajua Watanzania wenzako. Je wewe ungetamani wakupe pesa zao tu bila namna yoyoyote ya wao kuchukua tahadhari ya pesa zao?.
 
Kwahiyo ndio wanaondowa umaskini kwa mkopo wa 250,000/= uwape kwanza 60,000/=

Sasa huu si ndio upatu wenyewe? Yani watumie pesa za haohao maskini kukopeshea?

Declare interest kwanza kabla hujaanza kudemka na kuhororoja.
Mtoa mada aseme wapi ameambiwa hivyo na Atupe mrejesho. Nna namba za simu za watu kadhaa wa brac nipate niwaulize kama ni kweli. Ukute pengine staff individual ndio anataka kufanya mchezo mbaya.

Na kama ni kweli wanatoleshwa hicho kiasi niulize ni kwa ajili ya nini?

Brac taasisi yao ipo vizuri sana. Mie nafanya nao kazi zaidi ya miaka Kumi sasa na hakuna malalamiko ya wateja wao zaidi labda udanganyifu wa baadhi ya wateja.
 
Kifupi hii ni ile mikopo umiza
 
Sa si utulie uandike vizuri
 
Umekimbia mnooo
 
Na Wana matawi mengi balaa
 
Unajua NMB ina staff wangapi nchi nzima au unaleta story za kufikirika 🤣 🤣
 
Kimbilio la wenye uwezo wa kifedha mdogo na uelewa mdogo,
Wengi inawaumiza haiwasaidii.
 
Umejuaje ndugu??aisee kweli nilikuwa nakimbia angalia muda niliopost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…