BRA C Hao mabangladesh wana njaa hatari.
Ni kampuni ina miaka mingi sana bongo.
Bima ya mkopo inakulinda wewe na familia yako pindi ukipatwa na majangwa kama kufariki au kupata ugonjwa ambao utashindwa kufanya shughuli zako za uchumi hivyo familia haitosumbuliwa kulipa mkopo, mkopo utalipwa na kampuni ya BIMA.
Kuhusu Cash Collateral(akiba) sisi wabongo si waaminifu hivyo inasaidia hata mtu akichukua mkopo akakimbia basi hakimbii na hela yote, kuna ambayo itakuwa imebaki kwa kampuni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila pole sana
Retired inaonekana mambo tight sana mpaka kwenda kukopa BRAC