Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

asante sana. Ushuhuda wako nauamini. I have somebody very close to me anataka kukopa. Nikaona nitafute information, to satisfy due diligence, nijiridhishe angalau kama wako legitiamate and the like! asante sana.
Peace
 
kweli ukienda kwa hawa wa mitaani, wanakwambia leta kadi na gari uviweke hapa. Riba ni kwenye 200%/week.. blood fool and bustard!!
Ningekuunga na Platinum Credit. Au wacheki kwa simu ucheck process na gharama wapi pana unafuu
 
BRA C Hao mabangladesh wana njaa hatari.
images (90).jpeg
 
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na DECCI iliyowatapeli watu?
Brac ni taasisi ya kweli.haina utapeli.pia mkopo unalindwa na dhamana.Bima ni ikiwa mkopaji atafariki basi mkopo ulipwe na bima badala ya kuuza dhamana yako.halafu thamani ya dhamana ni lazima iwe sawa na thamani ya mkopo pamoja na riba yake.so ukiambiwa weka 250,000 kama dhamana maana yake mkopo wako ukizidi 250,000 lazima wakudai dhamana nyingine isiyohamishika.kuhusu hiyo hela ya bima,unaweza kuwambia wakukate kwenye hela utakazo kopa pia

Du! nadhani elimu ya mikopo inahitajika kwa umma.

Cha masingi angalia zaidi kama kile unachoenda kufanyia huo mkopo kinaweza kulipa.kama ni biashara,uwe na uhakika ni biashara inayoendelea au unataka kuongezea mtaji wa kununulia bidhaa.usiendee kukarabati fremu au kununulia vitu ambovyo si bidhaa za kuuza.

Mikopo ni mkombozi wa maisha lakini pia mikopo ni chanzo cha umasikini na ugonjwa wa kiharusi
 
asnte sana tena sana. I can now gather enough assurance!
 
Huko mkoani nilipokua unakuta mmama kakopa laki 8 ili amfanyie shughuli mwanae na huyu mtu hafanyi biashara with consistency yeye atafanya biashara ili apate rejesho tu. So ikatokea kafanya leo na kesho na rejesho limetimia basi ujue siku zilizobaki hafanyi biashara.

Kutokana na hili siyo ajabu kukuta mtu kakopa BRAC halafu anaenda kukopa taasisi nyingine ili kuwalipa BRAC, kisha ataenda kukopa kwingine ili kuwalipa hawa. Hii debt servicing ikifeli ndiyo unakuta dada/ mama zetu wanatumika mno kingono.
 
U
Tuna tatizo kubwa la vijana wetu kutopenda kutafuta taharifa. Huwezi kwenda kuomba mkopo kwenye taasisi ambayo hujaifanyia due diligence. BRAC ni kampuni kubwa sana duniani na imeanzia Bangladesh mwaka 1972 (miaka 50 iliyopita) na mwanzilishi wake alikuwa na maono makubwa ya kuwakomboa masikini duniani maono ambayo mpaka sasa yametimia kwa kiwango kikubwa. BRAC imewafikia wateja wengi masikini duniani na imewakomboa kwa kiasi kikubwa ikiwemo watanzania. Hapa Tanzania mtandao wa Brac Microfinance ni mpana mno na wana wafanyakazi zaidi ya 2,000 wanaofanya kazi karibia wilaya zote nchini. Kwa maana nyingine BRAC wana wafanyakazi wengi kuliko NMB Bank. Na kwa Dunia nzima wana wafanyakazi zaidi ya laki 1 na mapato zaidi ya Trillion 2 za kitanzania kwa mwaka.

Sasa wewe ebu jikadirie
Upo sahihi mkuu mkijiunga kivikundi mnaanza kukopeshwa kuanzia laki nne.

Na rejesho lake kila week ni 12500 ndani ya week 40 na una uhuru wa kudabo ili umalize haraka.

Ila sijui huko huku wanakopeshwa na wanawake tu.
 
Kuna project fulani ambayo ilisababisha nifanye kazi na BRAC (nje ya Dar) actually hii ofisi ina category (sijajua kama nipo sahihi kuita category) ya aina ya mikopo na wahusika wake project niliyokuepo ilihusisha vikundi vya mikopo vya wakina mama as in wamama wa sehemu mbalimbali wanaunda vikundi vyao kisha mmoja ataweza kukopa individually kwa dhamana ya kikundi.

Nikaja kujua kumbe wana mikopo binafsi (nadhani wewe upo hapa) wana mikopo kwa wakulima na wafanyabiashara. Kwa nilichoona pale sidhani kama BRAC wana mpango wa kupiga mtu. Wapigaji hua ni Credit Officers kwa kukuambia labda umpe 30K akufanikishie mkopo.

Pia naona unaifananisha BRAC na Deci. Deci ni pyramid scheme yaani ukifananisha Deci na Mr Kuku project utakua sawa lakini BRAC hawa ni microfinance na hawaoperate kwa kuchangisha watu ili mtu wa mwanzo kuita wenzake apate faida.

Swali lako la if they are legit yes they are legit ila kuhusu hizo charges sina uelewa nazo kwakua mimi nilikua na hiyo project iliyohusisha vikundi vya wamama tu.
Hutoi pesa ili wakukopeshe kwao hiyo ni RUSHWA.
 
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na DECCI iliyowatapeli watu?
Mwanzilishi wake alitunukiwa tuzo ya amani ya Nobel, Model yake ilikuwa ni ya kipekee kabisa Duniani

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na DECCI iliyowatapeli watu?
Una biashara iliyosajiliwa?, kama ni ndiyo nenda Vision Fund.
Mfano lki tano unarudisha 120,000 kwa miezi mitano mfululizo, yaani kila mwezi sawa na laki sita
Laki sita toa laki tano riba laki moja
 
Kwahiyo ndio wanaondowa umaskini kwa mkopo wa 250,000/= uwape kwanza 60,000/=

Sasa huu si ndio upatu wenyewe? Yani watumie pesa za haohao maskini kukopeshea?

Declare interest kwanza kabla hujaanza kudemka na kuhororoja.
Uko sahihi
 
BRA C Hao mabangladesh wana njaa hatari.
Ni kampuni ina miaka mingi sana bongo.

Bima ya mkopo inakulinda wewe na familia yako pindi ukipatwa na majangwa kama kufariki au kupata ugonjwa ambao utashindwa kufanya shughuli zako za uchumi hivyo familia haitosumbuliwa kulipa mkopo, mkopo utalipwa na kampuni ya BIMA.
Kuhusu Cash Collateral(akiba) sisi wabongo si waaminifu hivyo inasaidia hata mtu akichukua mkopo akakimbia basi hakimbii na hela yote, kuna ambayo itakuwa imebaki kwa kampuni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila pole sana Retired inaonekana mambo tight sana mpaka kwenda kukopa BRAC

amu nataka uje unifundishe marketing na insuarance[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Utapata F...Yaani "fa fa fa "
 
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na DECCI iliyowatapeli watu?
BRAC ni Microfinance ya tangu zamani mnooooo.

Siyo ya jana wala juzi
 
BRAC siyo matepeli na taasisi za kukopesha fedha kama zilivyo nyingine, wanazo ofisi zimesambaa nchi nzima
 
Tuna tatizo kubwa la vijana wetu kutopenda kutafuta taharifa. Huwezi kwenda kuomba mkopo kwenye taasisi ambayo hujaifanyia due diligence. BRAC ni kampuni kubwa sana duniani na imeanzia Bangladesh mwaka 1972 (miaka 50 iliyopita) na mwanzilishi wake alikuwa na maono makubwa ya kuwakomboa masikini duniani maono ambayo mpaka sasa yametimia kwa kiwango kikubwa. BRAC imewafikia wateja wengi masikini duniani na imewakomboa kwa kiasi kikubwa ikiwemo watanzania. Hapa Tanzania mtandao wa Brac Microfinance ni mpana mno na wana wafanyakazi zaidi ya 2,000 wanaofanya kazi karibia wilaya zote nchini. Kwa maana nyingine BRAC wana wafanyakazi wengi kuliko NMB Bank. Na kwa Dunia nzima wana wafanyakazi zaidi ya laki 1 na mapato zaidi ya Trillion 2 za kitanzania kwa mwaka.

Sasa wewe ebu jikadirie
1. Umefuatilia mishahara ya wafanyakazi wake?(mabinti wamekuwa Malaya tu kwenye hiyo taasisi,mishara midogo sana)

2. Una uhakika watu wanakomboka na hiyo taasisi,hasa mtanzania?

Mr Yunus alikuwa na lengo ulilotaja,nikuulize sasa brac imeshauzwa Mara ngapi?
WEWE NI KIONGOZI WA BRAC
 
BRA C Hao mabangladesh wana njaa hatari.
Ni kampuni ina miaka mingi sana bongo.

Bima ya mkopo inakulinda wewe na familia yako pindi ukipatwa na majangwa kama kufariki au kupata ugonjwa ambao utashindwa kufanya shughuli zako za uchumi hivyo familia haitosumbuliwa kulipa mkopo, mkopo utalipwa na kampuni ya BIMA.
Kuhusu Cash Collateral(akiba) sisi wabongo si waaminifu hivyo inasaidia hata mtu akichukua mkopo akakimbia basi hakimbii na hela yote, kuna ambayo itakuwa imebaki kwa kampuni.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila pole sana Retired inaonekana mambo tight sana mpaka kwenda kukopa BRAC
Acha dharau wewe
 
Back
Top Bottom