Wanapokea, hakuna hospital itakataa kumpokea na kumhudumia mgonjwa kwa kuangalia jinsi alivyofika kwao.
Kwenye utoaji wa rufaa kuna mgonjwa kujipa rufaa mwenyewe (self referral), ambapo mgonjwa huamua kwenda hospital fulani kwa ajili ya matibabu.
Pia kuna rufaa ya kupewa na hospital moja kwenda nyingine kwa ajili ya matibabu/huduma zaidi.
Rufaa zote hizi zinatambulika.
Kila la kheri.