Je, Bunge Linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania? Kitendo cha Bunge Kutunga Sheria Batili Iliyoshabatilishwa na Mahakama Kinamaanisha Nini?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.

Screenshot_20240728-134003_Rifaly.jpg

Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma mbele ya Kamati, nikasema hiyo sio statement, hilo ni swali na alama ya kuuliza ilikuwepo!, hivyo tunapozungumzia huu mhimili wa Bunge, sitaki tena kuitwa kuhojiwa, tena haswa kwa kuzingatia Spika wa sasa wa Bunge letu, Dr. Tulia Akson, ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, sio heshima, sio adabu, mwanafunzi kuhoji uwezo na weledi wa mwalimu wake. Hili ni swali tuu na sio statement.

Leo naendelea na zile makala zangu elimishi za kuwafundisha Watanzania kuijua katiba, sheria na haki. Jee wajua kuwa japo Mhimili wa Bunge la JMT, ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria batili, kinyume na Katiba?, kwasababu Katiba, inalizuia!. Swali la kujiuliza, Bunge letu hili tukufu, limepata wapi mamlaka ya kutunga sheria batili ambapo Mahakama iliisha ibatilisha?.

Tena sio tuu Bunge limetunga sheria batili, bali limeuchukua ubatili huo na kuuchomekea kiubatili, ndani ya Katiba yetu hivyo kuibatilisha Katiba yetu kuwa katiba yenye ubatlii!, na sasa Bunge limetunga tena sheria batili ya uchaguzi na ubatili ule ule uliokwisha batilishwa na Mahakama Kuu, na kumpa Rais aisaini kuanza kutumika!. Kwanini Bunge letu litutende hivi?

Hapa ndipo palipopelekea mimi kujiuliza, "Bunge letu Tukufu, linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?. Mahakama imetoa hukumu kubatilisha sheria fulani, kutokana na sheria hiyo kwenda kinyume cha katiba ya JMT ya mwaka 1977, kisha Mahakama Kuu ikakitangaza kipengele hicho batili, kimechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu, ikaamuru kiondolewe!. Mahakama ya Rufaa, ikakubaliana na msimamo wa Mahakama Kuu kuhusu ubatili huo, ila ikatofautiana na Mahakama Kuu kutangaza ubatili wa katiba uliofanywa na Bunge, na badala yake Mahakama ya Rufaa, ukalimuru Bunge ndio liuondoe ubatili huo ndani ya katiba yetu. Bunge halikuwahi kuuondoa ubatili huo mpake kesho, na limeendelea kutunga sheria zenye ubatili huo, na moja ya sheria hizo ni hii sheria mpya ya uchaguzi ya 2024. Hivyo nauliza, Kitendo cha Bunge letu tukufu, kutunga sheria batili Iliyobatilishwa na Mahakama kinamaanisha Nini?. Huku sio Bunge kuidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?, Hivi hili Bunge letu, linatuonaje?

Kwa kuanzia, kwanza tulijue Bunge ni nini na majukumu yake ni yapi? 62.-(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.

Bunge la JMT, ni moja ya mihimili mitatu ya dola, ya Serikali, Bunge na Mahakama. Japo mhimili wa serikali ndio unaonekana kuwa ndio kila kitu kwasababu Mkuu wa Mhimili wa serikali ni Rais wa JMT, ndie Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama, hali inayofanya serikali kuonekana kama ndio mhimili uliojichimbia chini zaidi, lakini kwa mujibu wa katiba yetu, Bunge ndio mhimili mkubwa zaidi kutokana na majukumu yake.

Majukumu ya Bunge ni
(2) Bunge litakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ( hivyo Bunge ni kuu kuliko serikali, kuliko mahakama) ambalo linapata ukuu wake na madaraka yake kutoka kwa wananchi, na linatakiwa kufanya kazi zake kwa niaba ya wananchi.

Moja ya kazi kuu za Bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote ukiwemo Mhimili wa Mahakama, katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii, hivyo kikatiba Bunge ndio kila kitu!, sio serikali, sio Mahakama!

(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza-

(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;

(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;

(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.

(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria.

(Hapa katiba inalitaka Bunge ndilo litunge sheria, lakini in reality Bunge letu halitungi sheria, bali linaidhinisha tuu sheria zilizotungwa na serikali. Serikali ndio inatunga miswada ya sheria na kulipelekea Bunge kuipitisha hivyo Bunge linasemwa kuwa ndilo limetunga sheria, kitu ambacho sio kweli na sio right.

Kwenye ile makala yangu iliyoniletea matatizo ya Bunge kujipendekeza kwa serikali, kiukweli kuna ukweli fulani ambao pia utaonekana kwenye utungaji wa sheria.

Bunge ndilo lilipaswa kuandaa miswada ya sheria, lakini miswada ya sheria inaandaliwa na serikali.

Serikali inaandaa miswada yenye vifungu batili vinavyokwenda kinyume cha Katiba yetu, na Bunge letu linatunga sheria batili hadi Mahakama Kuu ilipobatilisha kitendo cha Bunge kuletewa muswada batili na kuutunga kuwa sheria, huku sio kujipendekeza, ni zaidi ya kujipendekeza)

(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.
( hapa pia Bunge letu limekuwa likiridhia kitutusa baadhi ya mikataba na mfano mzuri ni mkataba wa DP World na Bandari zetu).

64.-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge.

(5) Katiba hii itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima ya Muungano na endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Hii Ibara ya 64 –(5) ndio inayosisitiza ukuu wa Katiba kuwa katiba ina nguvu ya sheria kuliko chombo chochote, katiba ina nguvu kuliko Bunge, ina nguvu kuliko serikali, ina nguvu kuliko Mahakama, katiba ndio kila kitu!.

Pia ni ibara hii, ndio imeipa katiba mamlaka yajuu kuliko mahakama, ya kubatilisha sheria yoyote endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Ibara hii maana yake ni Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria yoyote inayokwenda kinyume cha katiba.

Hukumu ya Mahakama Kuu, katika kesi ya Mtikila, imezitangaza Ibara ya 39 na 63 za Katiba ya JMT ni batili, na zimechomekewa kwenye katiba kiubatili.

Mahakama Kuu umetamka.

Katika pingamizi ya serikali kwa hukumu hiyo kwenye Mahakama ya Rufaa, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, haikubatilisha hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu ubatili wa vifungu hivyo kwenda kinyume cha katiba, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa imejikita kwenye uwezo wa mahakama kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria.

Hivyo Mahakama ya Rufaa, ikajitoa kuwa mahakama sio “the custodian of the will of the people”, “the custodian ni Bunge”, hivyo ikatoa uamuzi kuwa maadam ubatili huo umefanywa na Bunge, mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria, hivyo Bunge ndilo likarejeshewa kuuondoa ubatili huo.

Kitendo ilichofanya Mahakama ya Rufaa hapa ni kama mtu umeibiwa gari lako, ukashitaki polisi kuwa umeibiwa, kisha ukaliona gari lako, ukaripoti polisi umemkamata mwizi wako, Yule mwizi na ushahidi wa gari lako, akafikishwa mahakamani, mahakama ikatoa uamuzi kuwa ni kweli gari ni lako, na mwizi ameliiba, na amekamatwa nalo, ila kwa vile mwizi huyu ni mtu anayeheshimika sana, mahakama imeamuru mwizi huyo ndie alirudishe gari alipoliiba. Yule mwizi hakulirudisha mpaka leo!

Bunge limetunga sheria batili kinyume cha katiba, mahakama ikatangaza sheria hiyo ni batili, kwasababu inakwenda kinyume na katiba. Bunge likafanya marekebisho ya katiba kwa hati ya dharura, na kuuchomekea huo ubatili ndani ya katiba kwenye Ibara ya 39 na 63 ili kuuhalalisha ubatili huo. Mahakama Kuu ikaamuru kuwa huo uchomekeaji ni batili, ibara hizo ni kinyume na katiba. Mahakama ya Rufaa, ukaliamuru Bunge, kuuondoa ubatili huo ndani ya katiba yetu na kuifuta sheria batili ile!. Kwanini mpaka leo Bunge halijatekeleza hukumu ile ya Mahakama? Na kama haitoshi, Bunge letu tukufu, likatunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!. Hii maana yake ni nini?

Naelekea Dodoma kwenye Nane Nane, ikitokea nikakutana na wahusika wa maswali hayo, nitawahoji live na kuwaletea.

Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali
 
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo.
View attachment 3055008
Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa Bungeni kwa kutuhumiwa kuwa nimetoa statement kuwa "Bunge Linajipendekeza kwa serikali", kufika Dodoma mbele ya Kamati, nikasema hiyo sio statement, hilo ni swali na alama ya kuuliza ilikuwepo!, hivyo tunapozungumzia huu mhimili wa Bunge, sitaki tena kuitwa kuhojiwa, tena haswa kwa kuzingatia Spika wa sasa wa Bunge letu, Dr. Tulia Akson, ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, sio heshima, sio adabu, mwanafunzi kuhoji uwezo na weledi wa mwalimu wake. Hili ni swali tuu na sio statement.

Leo naendelea na zile makala zangu elimishi za kuwafundisha Watanzania kuijua katiba, sheria na haki. Jee wajua kuwa japo Mhimili wa Bunge la JMT, ndilo lenye mamlaka ya kutunga sheria, Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria batili, kinyume na Katiba?, kwasababu Katiba, inalizuia!. Swali la kujiuliza, Bunge letu hili tukufu, limepata wapi mamlaka ya kutunga sheria batili ambapo Mahakama iliisha ibatilisha?.

Tena sio tuu Bunge limetunga sheria batili, bali limeuchukua ubatili huo na kuuchomekea kiubatili, ndani ya Katiba yetu hivyo kuibatilisha Katiba yetu kuwa katiba yenye ubatlii!, na sasa Bunge limetunga tena sheria batili ya uchaguzi na ubatili ule ule uliokwisha batilishwa na Mahakama Kuu, na kumpa Rais aisaini kuanza kutumika!. Kwanini Bunge letu litutende hivi?.

Hapa ndipo palipopelekea mimi kujiuliza, "Bunge letu Tukufu, linaidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?. Mahakama imetoa hukumu kubatilisha sheria fulani, kutokana na sheria hiyo kwenda kinyume cha katiba ya JMT ya mwaka 1977, kisha Mahakama Kuu ikakitangaza kipengele hicho batili, kimechomekewa kiubatili ndani ya katiba yetu, ikaamuru kiondolewe!. Mahakama ya Rufaa, ikakubaliana na msimamo wa Mahakama Kuu kuhusu ubatili huo, ila ikatofautiana na Mahakama Kuu kutangaza ubatili wa katiba uliofanywa na Bunge, na badala yake Mahakama ya Rufaa, ukalimuru Bunge ndio liuondoe ubatili huo ndani ya katiba yetu. Bunge halikuwahi kuuondoa ubatili huo mpake kesho, na limeendelea kutunga sheria zenye ubatili huo, na moja ya sheria hizo ni hii sheria mpya ya uchaguzi ya 2024. Hivyo nauliza, Kitendo cha Bunge letu tukufu, kutunga sheria batili Iliyobatilishwa na Mahakama kinamaanisha Nini?. Huku sio Bunge kuidharau Mahakama na Kuwadharau Watanzania?, Hivi hili Bunge letu, linatuonaje?.

Kwa kuanzia, kwanza tulijue Bunge ni nini na majukumu yake ni yapi?
62.-(1) Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na sehemu mbili, yaani Rais na Wabunge.

Bunge la JMT, ni moja ya mihimili mitatu ya dola, ya Serikali, Bunge na Mahakama. Japo mhimili wa serikali ndio unaonekana kuwa ndio kila kitu kwasababu Mkuu wa Mhimili wa serikali ni Rais wa JMT, ndie Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu, hali inayofanya serikali kuonekana kama ndio mhimili uliojichimbia chini zaidi, lakini kwa mujibu wa katiba yetu, na kwenye majukumu ya Bunge,

Majukumu ya Bunge ni

(2) Bunge litakuwa ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ( hivyo Bunge ni kuu kuliko serikali, kuliko mahakama) ambalo linapata ukuu wake na madaraka yake kutoka kwa wananchi, na linatakiwa kufanya kazi zake kwa niaba ya wananchi.

Moja ya kazi kuu za Bunge ni kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote ukiwemo Mhimili wa Mahakama, katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii, hivyo kikatiba Bunge ndio kila kitu!, sio serikali, sio Mahakama!.

(3) Kwa madhumuni ya utekelezaji wa madaraka yake Bunge laweza-

(a) kumuuliza Waziri yeyoyote swali lo lote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako katika wajibu wake;

(b) kujadili utekelezaji wa kila Wizara wakati wa Mkutano wa Bunge wa kila mwaka wa bajeti;

(c) kujadili na kuidhinisha mpango wowote wa muda mfupi, muda wa kati au muda mrefu unaokusudiwa kutekelezwa katika Jamhuri ya Muungano, na kutunga sheria ya kusimamia utekelezaji wa mpango huo.

(d) kutunga sheria pale ambapo utekelezaji unahitaji kuwapo sheria;

(e) kujadili na kuridhia mikataba yote inayohusu Jamhuri ya Muungano na ambayo kwa masharti yake inahitaji kuridhiwa.

64.-(1) Mamlaka yote ya kutunga sheria juu ya mambo mengine yote yahusuyo Tanzania Bara, yatakuw mikononi mwa Bunge.

(5) Katiba hii itakuwa na nguvu ya sheria katika Jamhuri nzima ya Muungano na endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Hii Ibara ya 64 –(5) ndio inayosisitiza ukuu wa Katiba kuwa katiba ina nguvu ya sheria kuliko chombo chochote, katiba ina nguvu kuliko Bunge, ina nguvu kuliko serikali, ina nguvu kuliko Mahakama, katiba ndio kila kitu!.

Pia ni ibara hii, ndio imeipa katiba mamlaka yajuu kuliko mahakama, ya kubatilisha sheria yoyote endapo sheria nyingine yoyote itakiuka masharti yaliyomo katika Katiba hii, Katiba ndiyo itakuwa na nguvu, na sheria hiyo nyingine, kwa kiasi inachokiuka Katiba itakuwa batili.

Ibara hii maana yake ni Bunge halina mamlaka ya kutunga sheria yoyote inayokwenda kinyume cha katiba.

Hukumu ya Mahakama Kuu, katika kesi ya Mtikila, imezitangaza Ibara ya 39 na 63 za Katiba ya JMT ni batili, na zimechomekewa kwenye katiba kiubatili.

Mahakama Kuu umetamka.

Katika pingamizi ya serikali kwa hukumu hiyo kwenye Mahakama ya Rufaa, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, haikubatilisha hukumu ya Mahakama Kuu kuhusu ubatili wa vifungu hivyo kwenda kinyume cha katiba, Hukumu ya Mahakama ya Rufaa imejikita kwenye uwezo wa mahakama kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria.

Hivyo Mahakama ya Rufaa, ikajitoa kuwa mahakama sio “the custodian of the will of the people”, “the custodian ni Bunge”, hivyo ikatoa uamuzi kuwa maadam ubatili huo umefanywa na Bunge, mahakama haiwezi kuliingilia Bunge katika utungaji wa sheria, hivyo Bunge ndilo likarejeshewa kuuondoa ubatili huo.

Kitendo ilichofanya Mahakama ya Rufaa hapa ni kama mtu umeibiwa gari lako, ukashitaki polisi kuwa umeibiwa, kisha ukaliona gari lako, ukaripoti polisi umemkamata mwizi wako, Yule mwizi na ushahidi wa gari lako, akafikishwa mahakamani, mahakama ikatoa uamuzi kuwa ni kweli gari ni lako, na mwizi ameliiba, na amekamatwa nalo, ila kwa vile mwizi huyu ni mtu anayeheshimika sana, mahakama imeamuru mwizi huyo ndie alirudishe gari alipoliiba. Yule mwizi hakulirudisha mpaka leo!.

Bunge limetunga sheria batili kinyume cha katiba, mahakama ikatangaza sheria hiyo ni batili, kwasababu inakwenda kinyume na katiba. Bunge likafanya marekebisho ya katiba kwa hati ya dharura, na kuuchomekea huo ubatili ndani ya katiba kwenye Ibara ya 39 na 63 ili kuuhalalisha ubatili huo. Mahakama Kuu ikaamuru kuwa huo uchomekeaji ni batili, ibara hizo ni kinyume na katiba. Mahakama ya Rufaa, ukaliamuru Bunge, kuuondoa ubatili huo ndani ya katiba yetu na kuifuta sheria batili ile!. Kwanini mpaka leo Bunge halijatekeleza hukumu ile ya Mahakama?, na kama haitoshi, Bunge letu tukufu, likatunga sheria mpya ya uchaguzi yenye ubatili ule ule!. Hii maana yake ni nini?.

Yaani Mwanasheria Mkuu anayetengeneza huo mswaada na Spika inakuwaje, kwamba hawajui Sheria na wabunge wanaopitisha inakuwaje, hakuna anaye washauri
 
Bila massive overhaul kwenye katiba tutaendelea kuongozwa kienyeji
 
Serikali inaiba kura walioingia bungeni si kwa matakwa ya wananchi nikwa matakwa ya serikali. Spika nayeye kaingia bungeni kwa style ileile. Sasa hapo kaka Pascal ata ujadili wao wa hoja ni kwa maelekezo ya ule muimili ulio jichimbia chini kuliko miimili mingine. Mind that ukijifanya kichwa ngumu usifate maelekezo uchaguzi ujao bunge utaishia kulitazama kwenye TV.
 
Yaani Mwanasheria Mkuu anayetengeneza huo mswaada na Spika inakuwaje, kwamba hawajui Sheria na wabunge wanaopitisha inakuwaje, hakuna anaye washauri

CCM imejaa watu waovu wanaouabudu uovu. Roho zao za uovu, zimewaondolea akili, hekima na utu, ndiyo maana mtu anaweza kuwa na akili nzuri kabisa, mwenye elimu ya uhakika, na aliyekuwa na uelewa mpana wa mambo mbalimbali, lakini siku akapewa cheo kuoitia CCM, hakija baada ya muda, anakuwa hana tofauti Musukuma au Lusi de kibajaji.
 
Nilikuwa nasoma kwa umakini wa kutosha ili nione huo ubatili wa sheria ya Uchaguzi ya Mwaka 2024.
Lakini sijaona ufafanuzi wa ubatili huo.
 
Kusoma makala zako ni lazima uwe jobless!!

Unaandika marefu mnoo
 
Bunge aliweza tunga sheria kinyume na katiba.

Lakini bunge pia linaweza badili (kufanya amendments) na kuongeza masharti ya katiba kwa mujibu wa ibara ya 98 na kutunga sheria mpya baada ya hapo.

Sasa issue hapo labda iwe bunge alikufuata amendment process za katiba kwa mujibu wa ibara ya 98, kabla ya kubadili katiba na kutunga hiyo sheria.

Vinginevyo katiba sio fixed inakuwa na utaratibu wa kufanya amendments kawaida hayo mambo yanaelezewa kwenye katiba.

But then MaCCM hayana desturi ya kuheshimu katiba kwenye kutunga sheria.
 
CCM imejaa watu waovu wanaouabudu uovu. Roho zao za uovu, zimewaondolea akili, hekima na utu, ndiyo maana mtu anaweza kuwa na akili nzuri kabisa, mwenye elimu ya uhakika, na aliyekuwa na uelewa mpana wa mambo mbalimbali, lakini siku akapewa cheo kuoitia CCM, hakija baada ya muda, anakuwa hana tofauti Musukuma au Lusi de kibajaji.
Mkuu urafiki mbaya unaharibu tabia njema. Yupo kijana ambaye alikuwa morally very sound kijijini kwetu,frankly nilimpenda sana yule kijana.Sijui nani alimshawishi akaingia CCM,na sasa kapachikwa udiwani.Majuzi nilipokwenda kijijini as usual tulibadilishana mawili matatu.Nilishangaa sana kuona kwamba mawazo mazuri aliyokuwa nayo kuhusu nchi yetu yame-vanish and instead he categorically told me "if you can't fight them join them," niliumia sana.Anyway nakubaliana 100% na wewe,kuwa CCM is evil and any committed member of CCM is evil,na ukishaingia CCM you will be evil,because bad friendship destroys good manners.CCM kuna maambukizi mabaya sana ya uovu.
 
Mkuu urafiki mbaya unaharibu tabia njema.Mkuu yupo kijana ambaye alikuwa morally very sound kijijini kwetu,frankly nilimpenda sana yule kijana.Sijui nani alimshawishi akaingia CCM,na sasa kapachikwa udiwani.Majuzi nilipokwenda kijijini as usual tulibadilishana mawili matatu.Nilishashangaa sana kuona kwamba mawazo mazuri aliyokuwa nayo kuhusu nchi yetu yame-vanish and instead he categorically told me "if you can't fight them join them," niliumia sana.Anyway nakubaliana 100% na wewe kuwa CCM is evil and any committed member of CCM is evil,na ukishaingia CCM you will be evil,because bad friendship ruins good manners.
Afadhali ya shetani kuliko CCM mkuu
 
CCM imejaa watu waovu wanaouabudu uovu. Roho zao za uovu, zimewaondolea akili, hekima na utu, ndiyo maana mtu anaweza kuwa na akili nzuri kabisa, mwenye elimu ya uhakika, na aliyekuwa na uelewa mpana wa mambo mbalimbali, lakini siku akapewa cheo kuoitia CCM, hakija baada ya muda, anakuwa hana tofauti Musukuma au Lusi de kibajaji.
Ndio maana unaona kuwa Watu wengi waliopo huko hawaoni ubaya wowote ule katika kufanyiana uovu mbaya kama vile kuuana kwa kuwekeana sumu, kushambuliana kwa namna mbali mbali, kupigana-matunguli, n.k.

RIP Horace Kolimba.
 
Back
Top Bottom