Tetesi: Je Bunge ndilo limepitisha $90 kwa ticket za ndege kuanzia Nov 2025?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Inasemekana ongezeko la ticket kuingia $45 na kutoka $45 jumla $90 kwa kila ticket za wageni na Watanzania wasafirio nchi ni deal ya Abdul na mkurugenzi wa taifa lakini sina uhakika.

Je ni bunge limepitisha hili? Na ni kwanini?
 
Hii imeongezeka wapi na lini na ongezeko hilo linaitwa nini ? Yaani kila mtu akinunua ticket no matter kwenda wapi kuna added cost uliyosema kama vile ilivyo 18% ya VAT ?

Maelezo tafadhari....
 
Naomba kujua, hii inalipwaje? Wakati wa kukata ticket au wakati wa landing/depature?
 
Back
Top Bottom