Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Ni kweli kuwa historia tunayoijua Ina ukweli mdogo sana.
Mtu mweusi katajwa pia kwenye Biblia
Kuna mafuvu ya watu wa kale ambayo yamepatikana huko UK
Hii historia ya mambo ya kale inasumbua hata hao wazungu nyingi ni conspiracy tu. Unaona hata pyramids ziko maeneo mbali mbali duniani
Pia watu wanadai ark of covenant Iko Ethiopia na Zimbabwe wanadai pia ilikuwa kwao. Hivi ndio vitu vikubwa vinavyosukuma kuwa garden of Eden ilikuw kwenye hizi nchi
Majina ya makabila 12 ya Israel, yapo wapi? Hapa ndipo kunaweza kuwa na idea taifa la Israel ni lipi

Yes nakubali Liberia haikuwahi tawaliwa ajili ya kurudishwa watumwa weusi lkn pia inasemekana Biashara ya utumwa ni changa la macho sababu weusi weengi asili yao ni America pia!
weusi wengi walitawala na kuishi Ulaya lkn hawasemwi! hata christopher columbus yasemekana ni mweusi! chunguza uone!
kuna tawala nyingi sana za weusi ziliishi na kutawala America! lkn zimezimwa km ilivyo zimwa Egypt pamoja na masanamu yanayoonyesha kabisa kuwa hao walikuwa waafrica lkn wengi hamuamini hayo !!
Kitu ambacho mzungu Mkoloni na muuza watumwa hakutaka kabisaa mweusi akipate ni Elimu!