Je, bustani ya Eden haipo Tanzania?

Ni kweli kuwa historia tunayoijua Ina ukweli mdogo sana.
Mtu mweusi katajwa pia kwenye Biblia
Kuna mafuvu ya watu wa kale ambayo yamepatikana huko UK
Hii historia ya mambo ya kale inasumbua hata hao wazungu nyingi ni conspiracy tu. Unaona hata pyramids ziko maeneo mbali mbali duniani

Pia watu wanadai ark of covenant Iko Ethiopia na Zimbabwe wanadai pia ilikuwa kwao. Hivi ndio vitu vikubwa vinavyosukuma kuwa garden of Eden ilikuw kwenye hizi nchi

Majina ya makabila 12 ya Israel, yapo wapi? Hapa ndipo kunaweza kuwa na idea taifa la Israel ni lipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…