Je, Casto Dickson ataenda msibani kwa mzee Peter?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?

Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho
 
Ukisoma uzi wa mdau dajane
Utajua walishapigana enzi mkewe anachepuka nanhuyo cas.. sasa bora cas akitulize anakokujua sio kuingilia hadi wakati wa msiba.
 
Inasemekana Casto alikataa mimba na alimwambia Muna aitoe. Peter alimuoa Muna akiwa na mimba.

Kuna mama mmoja aliniambia ukiwa huna uhakika wa Baba wa mtoto mwanaume wa kwanza atakaekubali shikilia hapo hapo labda DNA ikuumbue.
 
Mtoto ni wa Casto sema kwakuwa Peter alimuoa ndo maana watu wanaongea tu. Kumbuka aliolewa na mimba ya miezi 3 na alikuwa na mahusiano na Peter+Casto. I know Peter vizuri was my neighbour somewhere
sasa mpaka mwanamke anaolewa Casti akitulize
 
Inasemekana Casto alikataa mimba na alimwambia Muna aitoe. Peter alimuoa Muna akiwa na mimba.

Kuna mama mmoja aliniambia ukiwa huna uhakika wa Baba wa mtoto mwanaume wa kwanza atakaekubali shikilia hapo hapo labda DNA ikuumbue.
Qummer- maye wallah,kumbe hata Mimi m2 ninayejua kuwa ni Baba yangu huenda asiwe my Biological father!!!!!!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…