kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,503
- 2,078
Ndio hasara za kupenda vitongaMuna ndo mngese angemweleza ukweli huyo dogo asingekuwa na shobo hzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hasara za kupenda vitongaMuna ndo mngese angemweleza ukweli huyo dogo asingekuwa na shobo hzo
Sasa kama alikataa mimba na kutaka itoleweInasemekana Casto alikataa mimba na alimwambia Muna aitoe. Peter alimuoa Muna akiwa na mimba.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haswaa sura Casto
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mtoto ana sura 2Mi naona kama Peter na Casto wanafanana aisee [emoji23]
Hata wewe unaongelea umbea tu. Huwezi kuwa na uhakika.Mtoto ni wa Casto sema kwakuwa Peter alimuoa ndo maana watu wanaongea tu. Kumbuka aliolewa na mimba ya miezi 3 na alikuwa na mahusiano na Peter+Casto. I know Peter vizuri was my neighbour somewhere
Ninahisi Casto na Munaluv waliendeleza Peter akiwa mumeSasa kama alikataa mimba na kutaka itolewe
Sasa kinachomwasha nini kupiga picha Instagram na mtoto wa Peter?! Yeye si alijiona mjanja sasa amemtia fedhea baba wa watu kalea mimba na mtoto hadi kifo.
Kistaarabu tu, futa hii post...Qummer- maye wallah,kumbe hata Mimi m2 ninayejua kuwa ni Baba yangu huenda asiwe my Biological father!!!!!!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho[/QU
Hii inatumika sana na it seems hatuna ujanja tena🙂🙂🙂🙂..ukiwa huna uhakika wa Baba wa mtoto mwanaume wa kwanza atakaekubali shikilia hapo hapo.
Dogo janjayeye (casto), kalala jr, joel muimba gospo, petit man na mababa wengine wote wa kufikia watangulie tu makaburin tutawakuta huko
Wakuu,
Familia ya Muna Love imekubali kuwa msiba utakuwa kwa mzee Peter ambaye alikuwa mume wa Muna, sasa je? Casto ataenda msibani hapo?
Endapo ataenda ni nini kitatokea? Kaa tayari kwa ubuyu huo hapo kesho
Peter au Patrick??Mi naona kama Peter na Casto wanafanana aisee [emoji23]
View attachment 804278
View attachment 804280
Ndio maana kunatakiwa kuwe na Zoezi la DNA kitaifa, nyumba kwa nyumba, mlango kwa mlangoHii inatumika sana na it seems hatuna ujanja tena🙂🙂🙂🙂
Kiongozi ukitaka habari za kujenga nchi nenda jukwaa la siasa, huku hizi ndio habari zenyewe hakuna kilimo cha mbogamboga huku.Unalidhalilisha sana jina la Tupac. Tupac alikuwa gangsta na sio mbea mbea na mambo ya kichoko kama haya ya kufuatilia maisha ya watu na sijui ubuyu ni umama wa hali ya juu kwa mwanaume
Akanana DEMBA una maakili sana huu ndio ushauri wanapaswa kuufata hao uliowataja kinyume na hapo wanaweza sababisha vurugu na wakapakiwa kwenye defender..... wanatakiwa kukaa mbali na mke wa mtu kwa sasa lasivyo watapata tabu sanayeye (casto), kalala jr, joel muimba gospo, petit man na mababa wengine wote wa kufikia watangulie tu makaburin tutawakuta huko
Pengine wewe ndio uelewa wako mdogo .....mtoto wa ndani ya ndoa ni mali ya wana ndoa kwa hiyo uhitaji DNA.....Ila hii inaleta shida kidogo, mama wa mtoto anaposimama hadharani na kusema mtoto sio wako halafu wewe unakomaa kuwa mtoto ni wa wako halafu unakuja tu na vikaratasi sijui cheti cha ndoa, mara sijui cheti cha kuzaliwa eti ndio udhibitisho kuwa wewe ndiyo baba wa mtoto kidogo napata mashaka na uelewa wa huyo Peter maana hayo ni makaratasi hayakufanyi Uwe biological father. Peter angekuwa na uwezo angefanya DNA test huo ndio ungekuwa udhibitisho wa maana ingawa hata huo pia kuna namna ni maamuzi ya dokta akitaka kuhamisha goli anahamisha vile vile. Peter atulie tu ashaambiwa aligongewa Sasa atulie tu
Kwani Huyu Casto Dickson ndie aliyewahi kuwa Mtangazaji wa redio moja Huku Mtwara inayoitwa PRIDE FM!!!Muna alitakiwa amsahau Casto kabisa baada ya ndoa