The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu.
My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee waonanasimangwa na Hakuna wakukiingua kifua.
Ama kweli siasa zetu zimejaa takataka kuna watu wanafaidika na huu. upotoshaji. Haiwezekani ikulu inapewa tuhuma nzito kama ile afu mamlaka zipo kimya.