Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

Kama Magufuli aliua, unataka ccm wafanyeje?
 
Ndio lina baraka zote za uongozi wa sasa wa CCM taifa. Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu ya sita kuoanda ili ashinde October 2025.

Awamu hii hawana rekodi nzuri ya kusimama nayo, hawana uwezo wa kueleza sera zao majukwaani kilichobaki ni kununua upinzani wote. Na kumchafua JPM kwa kila uchafu.

Wamejaribu kila kitu. Wanamalizia kwamba alikuwa mbakaji, tegemea atapews kila aina ya kashfa kwamba alibaka wanawake, mawaziri wa kike, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.
Ukweli lazima usemwe, Yeye alichagua maisha ya ukatali.
Hii itafanya wengine wajifunze wanapokuwa madarakani waongoze kwa kufata misingi ya utawala bora.
 
Ukweli lazima usemwe, Yeye alichagua maisha ya ukatali.
Hii itafanya wengine wajifunze wanapokuwa madarakani waongoze kwa kufata misingi ya utawala bora.
Ukweli usemwe ukiambatana ushahidi usio na shaka. Hakuna haja ya kuficha ushahidi kama unao.

Madai makubwa kama haya yawe na ushahidi wa kutosha. Hii ndio misingi ya haki inavyotaka.
 
Familia ya hayati Magufuli haiwez kuzungumza lolote wala kulaum kwani mengi ya yanayosemwa wao wameyaishi.

CCM hawana la kusema maana yanayosemwa ndio yaliyofanywa na possibly hayakufanywa Kwa nataka za chama.
Na ushahidi ni jinsi Janet alivyonawiri baada ya dhalim kwenda zake.
 
Back
Top Bottom