Ndio lina baraka zote za uongozi wa sasa wa CCM taifa. Hii ni kampeni ya October 2025. Tutasikia mengi Sana ili Samia aonekane ana unafuu, mwema, muadilifu. JPM anatumiwa kama ngazi na awamu ya sita kuoanda ili ashinde October 2025.
Awamu hii hawana rekodi nzuri ya kusimama nayo, hawana uwezo wa kueleza sera zao majukwaani kilichobaki ni kununua upinzani wote. Na kumchafua JPM kwa kila uchafu.
Wamejaribu kila kitu. Wanamalizia kwamba alikuwa mbakaji, tegemea atapews kila aina ya kashfa kwamba alibaka wanawake, mawaziri wa kike, watoto, wazee na wapinzani wake ikulu.