Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
- Thread starter
- #21
Nijibu kama nilivyokuulizakwahio umeona list ni ya terrorist
Nijibu kama nilivyokuulizakwahio umeona list ni ya terrorist
Nimeona,je nini kinaifanya itoke kwenye terrorist organizationkwahio umeona list ni ya terrorist
Je ni terrorist organization??Ccm kwa sasa inajiona kama muhimili wa 4 wa hii nchi.
(1) GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku | JamiiForums GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufukuJe CCM ni political party
Completely CCM ni terrorist organization
Terrorist organizationWanachama wake maarufu wanatekwa na kupotezwa na haijatoa tamko lolote, kinafaa vipi kutwa chama cha siasa?
Kutokana na nchi inavyoendeshwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa.Je CCM ni political party au ni organization nyingine tishio???
Hii ni case study!!!!!!
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Kutokana na nchi inavyoendeshwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa.