Je, CCM ni political party au aina nyingine ya taasisi?

CCM ni dini kama dini zingine, SI chama Cha siasa,

Na hakijasajiliwa popote. Ni hewa.
 
Ccm kwa sasa inajiona kama muhimili wa 4 wa hii nchi.
 
Mkuu ni bora ukutane na M23 ana kwa ana. Tofauti kati yao ni ofisi tu, hao M23 hawana ofisi wakati Chama cha mkoloni mweusi wanaofisi. Ila malengo yao yanafanana tu.
 
Wanachama wake maarufu wanatekwa na kupotezwa na haijatoa tamko lolote, kinafaa vipi kutwa chama cha siasa?
 
Kutokana na nchi inavyoendeshwa CCM ni zaidi ya chama cha siasa.
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…