Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo mgando
Tafuta hotuba ya rais mstaafu JK ya leo kule unguja ndiyo utajua rais ajaye wa ZanzibarSalaam wakuu,
Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.
Je, wamejuaje atashinda?
Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
Upumbavu tu.
Orodha ya watakaofikishwa mahakama ya kimataifa ICC itakuwa ndefu sana. Uchaguzi huu utaweka historia TanzaniaNgoja tuone ZEC watachukua uamuzi gani maana 2015 walifuta uchaguzi sababu Maalim Seif alianza kujipongeza kabla.
Ni kosa la Jinai hili kama ni kweli !!!! Je , na Mh Maalim Seif Sharif Hamad naye akitengeneza Tishet kama hizo Tume ya Uchaguzi Zanzibar itasemaje !!!!???
Hongera ya kitu gani
Duh hatari hii
Ngoja tuone ZEC watachukua uamuzi gani maana 2015 walifuta uchaguzi sababu Maalim Seif alianza kujipongeza kabla.
OkayKwa kuwa hayo maandishi hayana tarehe na hawajaandika kitu kama “hongera Dr. Mwinyi kwa kushinda kiti cha Urais”, CCM watasema hii ni mabaki ya Tshirts walizotoa baada ya chama kumpitisha kugombea.
Then ZEC hawatakuwa na la kufanya
Sawa bwana. View attachment 1611738
Umeshapigwa " SHIKWAMBI"
Kila siku tunawaeleza hamuelewi ccm itashinda iwe mvua au jua
Tumefanya siasa safi na bora nyumba kwa nyumba PLUS mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi
Laughing and I make loud noise ccm oyeeeeView attachment 1611507
How much are you paid!!?Ushindi wa mwinyi ilionekana toka siku ya kwanza
Mwinyi anapendwa sana na wazanzibari
How much are you paid!!?
or are you doing this for free!!