Zanzibar 2020 Je, CCM wameshajua Mwinyi atashinda? Wametengeneza nguo za kumpongeza

Salaam wakuu,

Nmeshangaa kuona CCM Wakimpongeza mgombea Urais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi.

Je, wamejuaje atashinda?

Uchaguzi wa Tanzania ni kiini macho
Tafuta hotuba ya rais mstaafu JK ya leo kule unguja ndiyo utajua rais ajaye wa Zanzibar
 
Ngoja tuone ZEC watachukua uamuzi gani maana 2015 walifuta uchaguzi sababu Maalim Seif alianza kujipongeza kabla.
Orodha ya watakaofikishwa mahakama ya kimataifa ICC itakuwa ndefu sana. Uchaguzi huu utaweka historia Tanzania
 
Labda ni mbinu tu za kuwahadaa kisaikolojia.
 
Ngoja tuone ZEC watachukua uamuzi gani maana 2015 walifuta uchaguzi sababu Maalim Seif alianza kujipongeza kabla.

Kwa kuwa hayo maandishi hayana tarehe na hawajaandika kitu kama “hongera Dr. Mwinyi kwa kushinda kiti cha Urais”, CCM watasema hii ni mabaki ya Tshirts walizotoa baada ya chama kumpitisha kugombea.

Then ZEC hawatakuwa na la kufanya
 
Okay
 
Sawa bwana.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa wanajeshi walivyo wengi uko lazima atangazwe
 
Umeshapigwa " SHIKWAMBI"

Kila siku tunawaeleza hamuelewi ccm itashinda iwe mvua au jua

Tumefanya siasa safi na bora nyumba kwa nyumba PLUS mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi

Laughing and I make loud noise ccm oyeeeeView attachment 1611507

Halafu wewe umenifanya nicheke kama jinga
Karibu mkuu 🍻🍹🥂🍸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…