Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

IMG-20200826-WA0077.jpg
 
Hahahaha
Mkuu hawa tume mimi bado sina imani nao hivyo hizi kauli naona kama ni changa la macho. I maybe wrong though.
mpwa tufurahi kwa kila hatua hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo! So far akina Mzee Makamba, Kinana na Wazee wengine wanagongeana tano kwa furaha kama nawaona vile
 
😅😅😅😅😅😅😅
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..

Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..

Magufuli 2020 💯
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Magufuli 2020 [emoji817]
Mabalabala ,madawa yenu ya Ukimwi yana letwa na hao hao mabeberu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..

Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..

Magufuli 2020 [emoji817]
Hii ishachuja Sasa
Njoo na nyingine
 
Ndio unanifahamisha.. kila la kheri na kuzimeza sijui kuzinywa.. naamini mufamilia munasaidiana kuwuguzana pamoja.. musali.. mutakuwa salama

Lissu kiki za kuongezewa pesa na mabeberu..

Magufuli 2020[emoji817]
Wewe Itakuwa Msukuma maana huna ubongo mpana. mnajifanya bila ninyi nchi hai endi . Kuwaona wote walio watangulia hawana akili .
 
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

Jaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safi😂😂😂
 
Back
Top Bottom