Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

Hii ishachuja Sasa
Njoo na nyingine

Hakuna limechuja.. nyie mashabiki.. muendelee kukaa gizani.. mumwambie akimbie tena mahakama.. na hadi leo kasahau bantu ba kusisitiza kesi ya kupigwa risasi.. anajua watakamatwa wote viongozi wa Chadema.. walipanga wakapigana risasi.. dereva yupo wapi!!!!

😅😅😅😅

Magufuli 2020 💯
 
Jaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safi😂😂😂
Hahahaha nimekuelewa sana sana
 
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

Ubongo wako naona umechanganyika na oil chafu!
 
Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
 
Tatizo mnayumba sana manyumbu,mara amnaimani na tume mara pongezi kwa tume.
mnalambishwa sukari kwenye kiganja wakatiuo shamba lenu la miwa linavunwa bila nyinyi kujua.
Kwani si wakifanya vizuri ni halali yao kupongezwa, wakifanya madudu kama kufunga office na kukataa fomu za baadhi ya wagombea kwa lengo la kukibeba chama kimoja wanaambiwa ukweli vile vile.
 
Sio rahisi kwa Magufuli kuenguliwa. Labda Tume imtoe kafala Lipumba.
Haijawahi tokea hapa Afrika aliopo madarakani huwa hatoki kirahisi hivi. Hizo kanuni ni maalum kwa kuwaengua wapinzani tu, Ngoja tuone maajabu ya Dunia
Reconcialation itafanyika.a ujue JECHA alichofanya Kaijage anaweza pia kufanya na hakuna pa kwenda.Si rahisi kumuengua lakini tayari tume itakuwa imeingia dosari kamakweli mapingamizi yana uzito.
 
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

CCM hii mbombo mbona wala si nkafu ki hivyo?

Sote turejeshe silaha alani - maridhiano.

Sote tutafsiri ustaarabu na haki kwa vitendo.

Sote tujiridhishe kuwa tunayowatendea wengine ni halali.

Mkuki kwa nguruwe hebu nasi tuuonje sasa japo kidogo.
 
Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Muache Mungu aitwe Mungu zile risasi zote ali zizima sasa Mungu analeta ufunuo mwingine sasa bisheni muone pigo Mungu atakalo liangusha
 
Jaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safi😂😂😂

Hapo itakuwa ni nyau kala mbwa! Kazi kweli kweli.

Hatima yote mikononi mwa jaji K.

Mheshimiwa jaji unayo nafasi ya dhahabu katika historia.
 
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC

Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!

Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.

Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....

"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao

Vyombo vilivyoripoti hayo vimechukuliwa hatua gani?
Au kwa vile taarifa ilikuwa in favor of migomba party na sio upinzani basi vyombo hivyo vimeachwa?
 
Back
Top Bottom