Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ila kwa Lissu tutawaweka tumbo joto sana
Ni kweli, ila mwisho wa siku watatangaza matokeo yao.
Na hakuna mahakama inayopokea pingamizi baada ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwa Lissu tutawaweka tumbo joto sana
Lisu kweli Game chenger Mkwere alisema afadhali yule nanihii awe Raisi uliko Lisu kupata Ubunge sasa nimeamini😂😂😂😂 Kakutana na kiboko yake! Halafu wanaangusha cheko ya nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ishachuja Sasa
Njoo na nyingine
Mwaka huu atakimbiaHivi inawezekana mpangaji akamfukuza baba mwenye nyumba kwa sababu baba mwenye nyumba kagoma kudai kodi ?
JK aliona mbaliLisu kweli Game chenger Mkwere alisema afadhali yule nanihii awe Raisi uliko Lisu kupata Ubunge sasa nimeamini
Sio rahisi kwa Magufuli kuenguliwa. Labda Tume imtoe kafala Lipumba.Kabisa unaamini Magufuli ataenguliwa kwenye uchaguzi?
Hahahaha nimekuelewa sana sanaJaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safi😂😂😂
Ubongo wako naona umechanganyika na oil chafu!Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao
Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao
Samahani huwa sijibishani na vichaa, mimi sio size yako kabisa! Najibishana na mwenye mbwa please. I am sorryUbongo wako naona umechanganyika na oil chafu!
Kwani si wakifanya vizuri ni halali yao kupongezwa, wakifanya madudu kama kufunga office na kukataa fomu za baadhi ya wagombea kwa lengo la kukibeba chama kimoja wanaambiwa ukweli vile vile.Tatizo mnayumba sana manyumbu,mara amnaimani na tume mara pongezi kwa tume.
mnalambishwa sukari kwenye kiganja wakatiuo shamba lenu la miwa linavunwa bila nyinyi kujua.
Ndio maana nikatoa angalizo CCM wawe wapole wakubali maridhianoUnaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Hopeless kabisa!Unaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Reconcialation itafanyika.a ujue JECHA alichofanya Kaijage anaweza pia kufanya na hakuna pa kwenda.Si rahisi kumuengua lakini tayari tume itakuwa imeingia dosari kamakweli mapingamizi yana uzito.Sio rahisi kwa Magufuli kuenguliwa. Labda Tume imtoe kafala Lipumba.
Haijawahi tokea hapa Afrika aliopo madarakani huwa hatoki kirahisi hivi. Hizo kanuni ni maalum kwa kuwaengua wapinzani tu, Ngoja tuone maajabu ya Dunia
Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao
Muache Mungu aitwe Mungu zile risasi zote ali zizima sasa Mungu analeta ufunuo mwingine sasa bisheni muone pigo Mungu atakalo liangushaUnaambiwa pingamizi la Lissu wahusika hawachomoki ! kwa mara ya kwanza nchi inafanya uchaguzi bila mgombea urais wa ccm .
Jaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safi😂😂😂
Vyombo vilivyoripoti hayo vimechukuliwa hatua gani?Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC