Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
mpwa tufurahi kwa kila hatua hadi hapo itakapotamkwa vinginevyo! So far akina Mzee Makamba, Kinana na Wazee wengine wanagongeana tano kwa furaha kama nawaona vileMkuu hawa tume mimi bado sina imani nao hivyo hizi kauli naona kama ni changa la macho. I maybe wrong though.
Mpwa hebu niambie Pozi la JK, Makamba na Kinana muda huu baada ya kutoka hii tweet
Mimi sio Tume ila kama kweli amekiuka taratibu kwanini asienguliwe?Kabisa unaamini magufuli ataenguliwa kwenye uchaguzi?
Mpwa hebu niambie Pozi la JK, Makamba na Kinana muda huu baada ya kutoka hii tweet
Mimi sio Time ila kama kweli amekiuka taratibu kwanini asienguliwe?
Mabalabala ,madawa yenu ya Ukimwi yana letwa na hao hao mabeberu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..
Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..
Magufuli 2020 [emoji817]
Mabalabala ,madawa yenu ya Ukimwi yana letwa na hao hao mabeberu.
Ila kwa Lissu tutawaweka tumbo joto sanaHuwezi kuengua muhimili uliokusimika.
Swala hapa ni katiba mpya, kuwe na tume huru isiyoweza kuingiliwa, mahakama huru, bunge huru na vyombo vya habari huru.
Otherwise, huu mchezo naamini tunashindwa asubuhi tu.
Hii ishachuja Sasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lissu anatafuta ongezeko la dau.. kutoka kwa mabeberu wanaotaka kufisadi ya nchi yetu.. afanye yote.. wakili muoga wa mahakama.. kufika kujibu kesi zinazomusubiri.. uwongo wa kutotokea.. eti yupo ndani siku 14.. yajayo muwe tayari kulia.. yeye anafanya kazi kupata pesa zaidi.. wameone anawasaidia..
Hatutaki vibaraka nchini hapa.. lissu hana sifa za kuongoza..
Magufuli 2020 [emoji817]
Wewe Itakuwa Msukuma maana huna ubongo mpana. mnajifanya bila ninyi nchi hai endi . Kuwaona wote walio watangulia hawana akili .Ndio unanifahamisha.. kila la kheri na kuzimeza sijui kuzinywa.. naamini mufamilia munasaidiana kuwuguzana pamoja.. musali.. mutakuwa salama
Lissu kiki za kuongezewa pesa na mabeberu..
Magufuli 2020[emoji817]
Jaji Kaijage akiamua kuturudisha kati kwa VAR ujue hakuna mahakama yakutengua maamuzi yake hivyo itakuwa joka limemeza mmiliki ndio mana hizi sheria zinapotungwa tukumbuke zinaweza kuadhibu mtu kiroho safiπππKuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC
Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na nafasi ya kushinda pingamizi hili ni ndogo sana!
Kama NEC wataendelea na msimamo wao ina maana mgombea wa CCM ataenguliwa rasmi.
Je CCM watakubali kushindwa? Hadi sasa kumbuka wameshapoteza hao wabunge waliosema wamepita bila kupingwa....
"Uchaguzi wa 2020 utakua rahisi sana" CCM hao