Uchaguzi 2020 Je, CCM watakubali maridhiano?


Jikite kwenye mada husika!!
 

Ukitoa mabeberu hali taifa halipo acha kuamin maneno ya wanasiasa kwamba nchi inaongozwa na pesa za ndani
 
Ukitoa mabeberu hali taifa halipo acha kuamin maneno ya wanasiasa kwamba nchi inaongozwa na pesa za ndani

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Maendeleo muhimu sana.. na tuyakuona kila wakati wa awamu ya Rais JEMBE la Tanzania..

Magufuli 2020 πŸ’―
 
Tabia ya kumua underated Lisu itawagharimu pakubw
Wapi tume muandarated Tundu Lisu ?
Kujiamini ni hatua muhimu sana katika kuelewa hoja ya mtu,acha woga kwanza,soma kitu,halafu kifikire kwanza
 
Mwaka huu atakimbia
Kila kitu kina muda wake,muda mwingine huwa hausubiriwi utumie,bali unafanyiwa kazi ili utimie.
Mafanikio ya kisiasa hayasubiri muda kufika,ila muda ndo unatakiwa kusubiri mafanikio hayo yatokee.
 
Yote yatakuwa yamesababishwa na utawala wenu hivyo tusimlaumu Lissu wala madume ya mbuzi hapa.
Kama kiongozi anasikia uonevu yupo kimya , watu wanauawa yuko kimya ana tofauti gani na makaburu ? Heri tupambanie kuishi chini ya kaburu mweupe maana yeye ana afadhali kiasi kuliko huyu kaburu mweusi wa sasa (ikiwa ni kweli katumwa na mabeberu )
 
Hawa wenzetu ni wa kuwaonea huruma sana, wanatia huruma kiukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana kwa kweli, sasa wanasubiri waje waseme waliibiwa kura😁😁
 
Sana kwa kweli, sasa wanasubiri waje waseme waliibiwa kura[emoji16][emoji16]
Sidhani kama wewe ni mwanamke kama unavyojinadi hapa. Wanawake kwa heshima ya mama zetu huwa wanaongea kwa kuchuja maneno na kufikiri kwanza.
Hivi unavyoona mwenendo wa uchaguzi uko sawa?
 
Bila shaka uliisikia taarifa ya Tume jana ikimtangaza Profesa Nguli Kabudi.
 
Hivi unavyoona mwenendo wa uchaguzi uko sawa?

Acha kupanick!! Chama Cha wenye matusi kama wewe kinawezaje chaguliwa na wananchi?

Kwa faida yako tuu bado ni ngumu kuishinda CCM na sababu ni kwamba wana misingi imara na wamejipanga vizuri.
Wakati wao wana wanachama zaidi ya 15mil unaweza kuniambia upinzani wana wanachama wangapi? na wakati huohuo ukumbuke jumla ya wapiga kura ni mil29
wakati CCM wana wana wajumbe wa serikali za mtaa zaidi ya 97% wanaotoa elimu nyumba kwa nyumba upinzani wanafanya nini
CCM wana office kila mtaa na vitega uchumi vya kutosha kujiimarisha wakati huo wapinzani mko kulalamika

Uwepo wa upinzani ni muhimu sana lakini upinzani bila mipango endelevu na kujengewa misingi imara ni ngumu kufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…