Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
So yale mashirika yaliokutwa na hizo kashfa ni ya chadema? Chadema ndio inaruhusu mashirika hayo yafanye kazi nchini?Hao waliberali wanatumika kumbaza ushoga, usagaji na ushetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So yale mashirika yaliokutwa na hizo kashfa ni ya chadema? Chadema ndio inaruhusu mashirika hayo yafanye kazi nchini?Hao waliberali wanatumika kumbaza ushoga, usagaji na ushetani.
Mbona hukuachia video yote umeachia tu hapo ili kupotosha ujumbe mzima ? Na lini alisema hivyo? Mods lindeni hadhi ya jukwaa kwa tabia kama hii ya upotoshaji wa makusudi.Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki.
Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA imepanga kuhakikisha uchaguzi hautafanyika endapo madai yao ya katiba mpya na tume huru hayatatekelezwa.
Katika kauli yake, Kigaila alisema: "Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 hautafanyika. Sio kwamba hatutashiriki ni hautafanyika na wanaotaka kushiriki hawatashiriki. Ni vizuri tukaelewana hivyo, maana mara nyingi huwa mnanikuu vibaya nikisema hautafanyika, mnasema tumesema Chadema hatutashiriki hapana, hata anayetaka kushiriki hatafanya huo uchaguzi."
Kauli hii ni shara ya dhamira mbaya ya kuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani ya taifa kwa makusudi.
Hatua ya CHADEMA kutohamasisha wanachama wao kujiandikisha inaonekana wazi ni sehemu ya mkakati kusambaratisha uchaguzi badala ya kushiriki kwa haki.
Badala ya kujenga hoja za ushindani wa kisiasa, viongozi wa juu wa Chadema wamekuwa wakiwaaminisha wanachama wao kwamba vurugu na machafuko ndiyo suluhisho.
Msimamo huu unazipa mzigo mamlaka za serikali kuhakikisha usalama wa mchakato na kuepusha hatari za machafuko.
Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?.
Ndugu Mtanzania mwenzangu, hatupaswi kuingizwa katika mtego huu. Tuwakatae wanasiasa wa chama hicho wenye nia ovu ya kutaka taifa letu litumbukie katika machafuko
Usagaji umeanzia huko utosini kabisa na wewe utakuwa mbia .Hao waliberali wanatumika kumbaza ushoga, usagaji na ushetani.
Clip umeikata unataka kulazimisha ujinga wako wa mawazo. Uende kwa wengine. Weka yote mpaka mwisho tusikie alafu tuchangie. Shida mnaleta mawazo na matakwa yenu tu humu kuliko ukweli halisi. Sasa mbona nyinyi mnasema kwa kukufuru kuwa ccm Haina kusema Mungu akipenda ila ushindi ni lazima.Makamanda badala ya kutujibu wamekuwa wakali.
Hawezi kukujibu anataka watu wajadili uchonganishi wake wasijadili alichokimaanisha msemaji.Mbona hukuachia video yote umeachia tu hapo ili kupotosha ujumbe mzima ? Na lini alisema hivyo? Mods lindeni hadhi ya jukwaa kwa tabia kama hii ya upotoshaji wa makusudi.
Na wapumbavu wenzake wanamsapoti, CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Clip umeikata unataka kulazimisha ujinga wako wa mawazo. Uende kwa wengine. Weka yote mpaka mwisho tusikie alafu tuchangie. Shida mnaleta mawazo na matakwa yenu tu humu kuliko ukweli halisi. Sasa mbona nyinyi mnasema kwa kukufuru kuwa ccm Haina kusema Mungu akipenda ila ushindi ni lazima.
Kabisa na walivyo wa hovyo wanakujua humu na mawazo kuwa watanzania ni wajinga Kama wao.Na wapumbavu wenzake wanamsapoti, CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.
Kuna hawaamini mabeberu wa magharibi lengo lao kuu Afrika isiendele. Katika kutekeleza hayo wanahakikisha vurugu na kuwepo utawala mbovu. Hii chadema yenye viongozi wenye kuitwa ubalozi wa marekali isifumbiwe macho huku tunajua wanatumika kuvuruga utulivu wa nchi kwa kisingizio cha demokrasia. China imesonga mbele kutoka umaskini hadi kua na maendelei makubwa bila njia ya demokrasia ya kibwanyenye ya wamagharibi.Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki.
Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Benson Kigaila, mmoja wa viongozi waandamizi kutoka chama hicho, ametoa matamshi yanayodai kwamba CHADEMA imepanga kuhakikisha uchaguzi hautafanyika endapo madai yao ya katiba mpya na tume huru hayatatekelezwa.
Katika kauli yake, Kigaila alisema: "Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 hautafanyika. Sio kwamba hatutashiriki ni hautafanyika na wanaotaka kushiriki hawatashiriki. Ni vizuri tukaelewana hivyo, maana mara nyingi huwa mnanikuu vibaya nikisema hautafanyika, mnasema tumesema Chadema hatutashiriki hapana, hata anayetaka kushiriki hatafanya huo uchaguzi."
Kauli hii ni shara ya dhamira mbaya ya kuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani ya taifa kwa makusudi.
Hatua ya CHADEMA kutohamasisha wanachama wao kujiandikisha inaonekana wazi ni sehemu ya mkakati kusambaratisha uchaguzi badala ya kushiriki kwa haki.
Badala ya kujenga hoja za ushindani wa kisiasa, viongozi wa juu wa Chadema wamekuwa wakiwaaminisha wanachama wao kwamba vurugu na machafuko ndiyo suluhisho.
Msimamo huu unazipa mzigo mamlaka za serikali kuhakikisha usalama wa mchakato na kuepusha hatari za machafuko.
Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?.
Ndugu Mtanzania mwenzangu, hatupaswi kuingizwa katika mtego huu. Tuwakatae wanasiasa wa chama hicho wenye nia ovu ya kutaka taifa letu litumbukie katika machafuko
Mbona hukuachia video yote umeachia tu hapo ili kupotosha ujumbe mzima ? Na lini alisema hivyo? Mods lindeni hadhi ya jukwaa kwa tabia kama hii ya upotoshaji wa makusudi.
Na chadema inalaani hilo?Usagaji umeanzia huko utosini kabisa na wewe utakuwa mbia .