Je, CHADEMA ina lengo la kweli kushindana kwa hoja na sera au dhamira yao ni kufanya nchi isitawalike kwa kukwamisha chaguzi?

Mbona hukuachia video yote umeachia tu hapo ili kupotosha ujumbe mzima ? Na lini alisema hivyo? Mods lindeni hadhi ya jukwaa kwa tabia kama hii ya upotoshaji wa makusudi.
 
Makamanda badala ya kutujibu wamekuwa wakali.
Clip umeikata unataka kulazimisha ujinga wako wa mawazo. Uende kwa wengine. Weka yote mpaka mwisho tusikie alafu tuchangie. Shida mnaleta mawazo na matakwa yenu tu humu kuliko ukweli halisi. Sasa mbona nyinyi mnasema kwa kukufuru kuwa ccm Haina kusema Mungu akipenda ila ushindi ni lazima.
 
Mbona hukuachia video yote umeachia tu hapo ili kupotosha ujumbe mzima ? Na lini alisema hivyo? Mods lindeni hadhi ya jukwaa kwa tabia kama hii ya upotoshaji wa makusudi.
Hawezi kukujibu anataka watu wajadili uchonganishi wake wasijadili alichokimaanisha msemaji.
 
Na wapumbavu wenzake wanamsapoti, CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.
 
Kuna hawaamini mabeberu wa magharibi lengo lao kuu Afrika isiendele. Katika kutekeleza hayo wanahakikisha vurugu na kuwepo utawala mbovu. Hii chadema yenye viongozi wenye kuitwa ubalozi wa marekali isifumbiwe macho huku tunajua wanatumika kuvuruga utulivu wa nchi kwa kisingizio cha demokrasia. China imesonga mbele kutoka umaskini hadi kua na maendelei makubwa bila njia ya demokrasia ya kibwanyenye ya wamagharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…