Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Wangeweza bila Mbowe, lakini with Mbowe halitawezekana.

Pascal Mbowe ni kama Nyani anavyo mlisha mwanae mpaka anashiba baadaye anamtapisha. Huu ndio mwendo wa Mbowe na Chadema, LISSU muda wake wa kutapishwa umeshafika
 
Kila nikiangalia, mahesabu yangu yananiambia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 MAGUFULI anapigwa asubuhi na mapema tu

1. Kura za Kaskazini zitamkataa vibaya mno
2. Kura za kusini zitamkataa katakata
3. Kura za Waislamu ndiyo kabisaa maana teuzi zake nyingi wamezilalamikia
4.Kura za mji mikubwa kama Mbeya na Dar es salaam atazisikia katika bomba
5.Kura za Singida kwa Tundu Lissu na Nyalandu hizo asahau
6.Kura za wafanyakazi ambao hajawaongezea nyongeza za mishahara atazisikia katika bomba
7. Kura za Vijana wasio na ajira, Vijana wa vyuoni wanamwangalia wanasema hiiiiiii etc
8.Kura za Watanzania walioko kwenye social media wengi hawamkubali
9. Iringa atapigwa asubuhi na mapema tu
10.Kagera ndiyo kabisa wanasubiri wapitishe hukumu
11. Kule Kigoma kwa Mwami Zitto ndo asahau kabisa
12. Wafanyabiashara wanaosumbuliwa kodi na TRA wamenyuti hawana maneno mengi wanamsubiri kwa hamu wamsulubu
13. Wenye Magari waliogeuzwa ng'ombe wa kukamuliwa pesa na Matrafiki hawa wanamgojea kwa hamu kubwa wamuonyeshe kilichomnyoa kanga manyoya
 

Kura za ushindi tayari anazo, anatafuta kura za uhalali wa kutawala tuu.
 

13 kura za waliobomolewa
14 kura za vyeti feki
15 kura za wafungwa (rumande)
 
CHADEMA haiwezi ongoza nchi effectively. Ni chama cha ki uananaharakati zaidi na uwezo mdogo wa kiuongozi na hawajajiandaa kuchukua nchii.e hata kujenga ofisi imeshindikana.

Meko wako hana uwezo wa kushinda kwa kura kwa halali. Muulize kwanini anaogopa tume huru ya uchaguzi kama ana uwezo wa kushinda kwa kura halali?. Kwanini anaengua wapinzani?.
Kwanini kwenye mikutano yake anatumia wasanii,kusomba watu, kufunga mashule ili ajaze uwanja?. Why?
 
Hata wakoloni walidhani mwafrika hawezi kutawala Tanzania, lakini nyerere alitawala kwa mafanikio makubwa.
Statement yako kwanza ni umekiponda CHADEMA, sjui nani kakupa hayo mamlaka kama wewe ni CCM tena nilikua nakuheshimu ila naona ubongo wako umeingia sumu ya nyoka wa kijani na usukuma.
 
Wewe mwenyewe unajua toka vyama vingi vianze CCM wanashindwa kila mwaka au umesahau ya kituo Cha channel ten kufungwa wakati ule baada ya kutangaza ushindi wa Maalim Seif Sharifu Hamad Zanzibar .
 
Mkuu Mulokozijr12 , naunga mkono hoja, Tanzania upinzani hakuna kitu kabisa!.
Ni kesho, jee wanaweza?.
P
 
Wewe mwenyewe unajua toka vyama vingi vianze CCM wanashindwa kila mwaka au umesahau ya kituo Cha channel ten kufungwa wakati ule baada ya kutangaza ushindi wa Maalim Seif Sharifu Hamad Zanzibar .
Kwa taarifa tuu, aliyetangaza ni mimi!, that was then, now CCM imara, CCM inapendwa, CCM inakubalika, kesho CCM inashinda kwa kishindo.
P
 
Mpaka bunge linavunjwa 2020.

Idadi ya wabunge wote kutoka chama kikuu cha upinzani ni chache kuliko wabunge wa viti maalumu pekee kutoka chama tawala.
 
Naunga mkono hoja, haya ndio mambo ya Chedema, jee Ikulu yetu wangeiweza?.
P
 
Uchaguzi ulikuwa wa haki na huru?

Umejibu hili?
Mkuu Kiranga, kwa vile wengi wanauzungumzia uchaguzi based on kilichotokea, mimi nimeanza kuuzungumzia zamani na matokeo ya uchaguzi wa 2020, niliishayajua tangu ile 2015 baada ya Jembe JPM, kuingia ulingoni.
Karibu pande hizi
P
 
Mkuu Jerusalem2006 , naunga mkono hoja, Chadema hamna kitu kabisa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…