Mkuu Kiranga, kwa vile hoja humu sio uchanguzi bali yatokanayo, na kwenye uchaguzi nimeisha jibu sana hilo, naomba sasa tuendelee na yatokanayo.
Kina Mdee wameishatimuliwa na kangaroo court ya CC ya Chadema, maana hoja yangu ni kuhusu karma ya haya yanayofanyika sasa, then when karma hits back, nitakuwa ninawakumbusha!.
P
Ukishasema hoja si uchaguzi bali yatokanayo na uchaguzi, umeshakubali uchaguzi ni hoja.
Kwa maana hakuna kinachotokana na uchaguzi kinachowezekana kuwepo bila uchaguzi.
Kwa mfano, huwezi kuwa na uchaguzi uliofanyika kwa wizi wa kura jimboni, halafu, ukapata mbunge wa jimbo hilo, ukasema huyu ni mbunge halali, hoja si uchaguzi, hoja ni yatokanayo na uchaguzi, uchaguzi umeisha.
Anzory na Ben Saanane wamepotezwa jumla, karma imefanya Nini?
Tangu enzi za Mwalimu, Karume na kupotezwa Abdullah Kassim Hanga, hadi leo, karma imewaadhibu Nini? Au karma ipo kuwaadhibu CHADEMA tu pale wanapowatimua was
Mkuu Kiranga, kwa vile hoja humu sio uchanguzi bali yatokanayo, na kwenye uchaguzi nimeisha jibu sana hilo, naomba sasa tuendelee na yatokanayo.
Kina Mdee wameishatimuliwa na kangaroo court ya CC ya Chadema, maana hoja yangu ni kuhusu karma ya haya yanayofanyika sasa, then when karma hits back, nitakuwa ninawakumbusha!.
P
Labda Paskali kwa heshima ya degree yako ya sheria tueleze kisheria kwanini Kamati kuu ya chadema ambayo iko kikatiba, wewe unaiita Kangaroo court wakati ikitekeleza majukumu yake ya kikatiba, vinginevyo nitaungana na wanaokuita mchumia tumbo. Nayasema haya kwa sababu nimekuwa naheshimu sana mijadala yako tangu siku nyingi ingawa hivi karibuni naanza kupata shida kuamini kuwa ni yule yule Paskali wa miaka ya tisini na kabla ya 2015.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Karma ya yapi hiyo? Mungu yupo huyo au mungu wako binafsi Paskal mayala? Ujue ujinga wako ndiyo umekukosesha uteuzi miaka yote, huwezi kuja na story ndefu iliyojaa utetezi wa kiwendawazima utegee uteuzi kwa kuiga utendaji kazi wa kishetani wa polepole, kumbuka kuna wanachadema zaidi ya 400 wapo jela kwa kesi za kubambikiwa na Polisiccm kwa maagizo ya CCM na wao mdee na Bulaya walichezea kichapo cha magerezaccm hadi kulazwa sanjari na kesi kibao za kubambikiwa na utawala wa CCM iweje leo wafanye usariti kwenda kufunga ndoa na CCM kisha waachwe bila kufukuzwa kisa walipigania chama? Huo upumbavu wa kununuliwa na Ndungai ni kupigania chama? Wewe Paskal mayala ni Dalali wa Hiyo biashara haramu ya kishetani ndiyo maana umejitoa fahamu zote kutetea upumbavu wa covid 19 wanandungai.
Karma inakata kote kote. Na hiyo hiyo karma iwakute wote kuanzia walioagiza, waliotekeleza na wanaoficha ukweli kuhusu Lisu kupigwa risasi, yaliyomkuta Ben Saanane, viroba vyenye miili ufukweni mwa bahari ya hindi na Azori kwa kuanzia.
Ongezea orodha maana ni ndefu mno.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Mungu hawezi kubariki ujinga wa mdee na kikundi chake kamwe hakunaga mungu wa hivyo popote Duniani, mungu atakuja kuibariki Tanzania pindi CCM wakiacha kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na kuacha kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kuwapiga risasi wapinzani, mda huu mungu yupo busy kuwaonyesha CCM mapungufu yao acha kumlazimisha mungu kuibariki Tanzania wakati sasa hakuna Haki tena hakuna utawala wa Sheria katiba haifuatwi
Baada ya kuona Mdee, Bulaya, Matiko na wenzao wamemgwaya Mbowe na chama Chake nimetafakari na kuona kuwa chadema sio chama cha kutegemewa na wananchi tena, kama watu hao imara waliokipigqnia chama wameamua kukataa ukamdamizaji ndani ya chadema sembuse mimi na wewe mashabiki maandazi hatuna thamani yeyote.
Kina Mdee wametuonyesha njia ya uzalendo wa kweli tuwaunge mkono
Karma inakata kote kote. Na hiyo hiyo karma iwakute wote kuanzia walioagiza, waliotekeleza na wanaoficha ukweli kuhusu Lisu kupigwa risasi, yaliyomkuta Ben Saanane, viroba vyenye miili ufukweni mwa bahari ya hindi na Azori kwa kuanzia.
Ongezea orodha maana ni ndefu mno.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Labda Paskali kwa heshima ya degree yako ya sheria tueleze kisheria kwanini Kamati kuu ya chadema ambayo iko kikatiba, wewe unaiita Kangaroo court wakati ikitekeleza majukumu yake ya kikatiba, vinginevyo nitaungana na wanaokuita mchumia tumbo. Nayasema haya kwa sababu nimekuwa naheshimu sana mijadala yako tangu siku nyingi ingawa hivi karibuni naanza kupata shida kuamini kuwa ni yule yule Paskali wa miaka ya tisini na kabla ya 2015.
Paskal mayala sasa anaishi kwa mdee kama marioo amekariri upumbavu wa mdee kaja nao hapa jukwaani kwa Akili zake finyu alidhani watu wamelala sasa mgoja aonje machungu ya kusaka uteuzi kifala fala
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba ukiwa ni founder lets say wa organisation yoyote ile kumbe unaruhusiwa kwenda kinyume na Policies...bila kuchukuliwa hatua za kinidhamu.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye hukumu ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.
Wanabodi, Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu hufurahi na kumshukuru Mungu, au likitokea jambo baya lolote, watu hufarijiana kuwa kusema hiyo ni "kazi ya Mungu!'...
www.jamiiforums.com
Leo kikao cha CC ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu ajabu ikiwemo timua timua, ambazo karma za hukumu hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, when karma strikes back, hakuna anayekumbuka kuwa ni hukumu ya matendo yake ya nyuma!. Tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni kidogo, it's nothing and insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanayokushukia ni mapigo makubwa in three folds, kulinganisha na ulichotenda, hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina mtake care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.
Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man wa Chadema, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakuta the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikamwingia na kumdhuri, tena alikuwa ni almanusura!, asingewahishwa saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha ndani, CC Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu aliyekuwa akivujisha jf, kilichokuwa kinajadiliwa ndani, mlimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu JF, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kiharakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi mpya vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, na angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.
Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya cohabitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kisha akaamkia Bungeni Dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.
Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake jipya la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.
I Wish Halima Mdee and her team, all the best, kama wataadhibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na wao kuwa elevate machoni pa watesi wao!.
Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!
Wamepata walichostahili. Kama kiungo cha mwili kikibainika kuambukizwa kansa na ukaamua kutokatwa(mf.kidole) kwa vile unakipenda na utaharibu "formula",yatakayokupata ni chaguo lako.
Hao ni kansa kwa CDM! Kama ni lulu ccm wawakumbatie.Mbona mlipokea makapi mengine kama waitara,lijualikali na kadhalika? Kuondoka CDM hakuwafanyi wakose sifa ya u-Tanzania.Ila CDM hao ni outcasts! Watakaseni.
Wewe mwenyewe Karma inakuandama maisha yanaenda kwa shida sana,unahangaika na mapito kibao,sana sana umedata hiyo ndio lugha inayokufaa,unajaribu kujipendekeza kipindi hiki uonekane na Jiwe kwenye teuzi hovyo kabisa,mtu akikosa asiadhibiwe tena kosa la usaliti kwa vile tu alikifia chama nonsense. ukitaka na kama una uwezo wachukue wewe uanzishe nao chama kipya maisha yasonge.
Wamepata walichostahili. Kama kiungo cha mwili kikibainika kuambukizwa kansa na ukaamua kutokatwa(mf.kidole) kwa vile unakipenda na utaharibu "formula",yatakayokupata ni chaguo lako.
Hao ni kansa kwa CDM! Kama ni lulu ccm wawakumbatie.Mbona mlipokea makapi mengine kama waitara,lijualikali na kadhalika? Kuondoka CDM hakuwafanyi wakose sifa ya u-Tanzania.Ila CDM hao ni outcasts! Watakaseni.
Wewe mwenyewe Karma inakuandama maisha yanaenda kwa shida sana,unahangaika na mapito kibao,sana sana umedata hiyo ndio lugha inayokufaa,unajaribu kujipendekeza kipindi hiki uonekane na Jiwe kwenye teuzi hovyo kabisa,mtu akikosa asiadhibiwe kwa vile tu alikifia chama nonsense.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.