Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu

Duni Haji alisema Chadema wapo kama Kambale ndio haya tunayaona ila kama kweli wana baraka ya mwenyekiti bila katibu kujua wala cc ya chadema haijakaa ni vema waadhibiwe wote mwenyekiti na wasaliti lakini kama walijiamria wachukuliwe hatua za kinidhamu na pia chadema ifungue kesi ya kuwashitaki wote walihousika na mchakato batili hata kama watabebwa na mahakama lakini hila zao zitawekwa wazi , ikiwa mwenyekiti kahusika na hataki wachukuliwe hatua ni bora Mnyika ajiuzulu ili ampe nafasi mwenyekiti kuendelea na mipango yake
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye huku ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni huku ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikmwingia...ilikuwa ni almanusura asingewahisha...saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu milimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu jf, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.

Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
Huyu ndio Paskal💪
 
Jitahidi ku-summarise bro. Unaongea Sana. But mbona hukuhoji Chama Kumvua uanachama Membe?? Au unadhani Membe hakukitumikia Chama?

Unachoelezea ni kuwa baadhi wa wanachama wapewe immunity na provision ya kuvunja Katiba tu kwa vile wao ni wakongwe.

Kama ikiruhisiwa hivyo, wewe mwenyewe Pakal Njaa utakuja kuandika mambo meeeeengi hapa kuhoji na kuponda.
 
Mnyika ni radical kama Dr Slaa , hii issue inaweza kuishia kwa yeye kuamua kujiuzulu ...kama haitakuwa well handled ....ccm wamewaweza chadema this time ..sijui kama chadema wanajua hilo ...... wakiwafukuza KOSA wakiwaacha KOSA ....
Dawa waishughulikie baada ya hali ya hewa kupoa ..kuna pressure nje ya kuona amajibu
 
Wanabodi,

Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi humu jukwaani. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani, haina Msalie Mtume, wala haujui nani ni nani!, kwenye huku ya karma, kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake.

Leo kikao cha CCM ya Chadema, kinakaa as usual as a Kangaroo court, kama kilivyokuwa kinakaa huko nyuma na kutoa hukumu za ajabu, ambazo karma za huku hizo, zinakuja kuigharimu Chadema mbele ya safari, tatizo, wakati wa karma payback time unapofika, hakuna anayekumbuka kuwa ni huku ya matendo yake, tatizo la karma, unaweza kufanya kitu kidogo, tuu, kwako ukakiona ni insignificant, lakini when karma takes its toll, mapigo ya karma yanakushukia in three folds hadi huwezi kukumbuka ulifanya nini kustahili, kinachokupata!. Ila pia, anayehukumiwa pasipo haki, karma pia huwa ina m take care, na kumu elevate machoni pa watesi wake!.

Mifano ya Matendo ya Chadema, na Matokeo ya Karma Zake.
  1. Chadema walipo establish a torture chamber pale makao makuu yake na kumshughulikia ipasavyo Mlinzi wa Dr. Slaa, Kagenzi, nilionya kuhusu karma. Kwa vile hii ilikuwa ni internal operation, na mimi sio inside man, naombeni ndugu zangu wa Chadema, jifanyieni tathmini, nani alifanya nini, the roles walizo play, then angalia kilichokuja kuwakupa the players, na sasa Kagenzi yuko wapi na ana hali gani!. Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa, Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa, Tena tazameni karma ilivyo, aliyetuhumiwa kumpa sumu sumu Kagenzi ili amtilie Dr. Slaa, na yeye alikuja kutiliwa sumu na ikmwingia...ilikuwa ni almanusura asingewahisha...saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!.
  2. Chadema mlipokuwa kwenye kikao chenu cha CCM Arusha, kukatokea mtu miongoni mwenu milimuita msaliti, kwa kuvujisha info humu jf, jiulizeni ni nani alimdakua mtu huyo, na mlimfanya nini!, then jikumbumbusheni kilichompata huyo kamanda shupavu aliyemshughulikia msaliti!. Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?
  3. Chadema mlipomtimua Juliana Shonza na masalia kwenye kangaroo court yenu, nililizungumzia hili, sasa leo angalieni waliomshughulikia Shonza, nini kiliwakuta, leo wako wapi, na mlinganishe na Juliana Shonza alipo!. Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Mlipowatimua kina Kitila kwa hoja ya ule Waraka wa Mabadiliko, ambao nyinyi mliuita ni waraka wa mapinduzi, mimi nikawaambie ule ni waraka wa kui transform Chadema kutoka Chama cha kirakati, kukigeuza Chama Tawala in waiting, hivyo waraka ule haukuwa wa mapinduzi, bali a "winning coalition" kuu revamp uongozi static na stagnant wa Chadema, na kuleta uongozi vibrant na dynamic, angalieni makamanda wa timua timua hiyo nini kiliwakuta, linganisha na mahali alipo Prof. Kitila, tena anakuwa Waziri kwenye key ministry!. Ningekuwa CC ya CHADEMA ningemsamehe Kitila Mkumbo
  5. Mlipomtimua Zitto kwa kutumia CC kangaroo, niliwauliza humu, CC ya Chadema, inapata wapi mamlaka ya kumuadhibu NKM wakati mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu, hakuna aliyejibu, angalieni nini kiliwakuta waliomtimua Zitto, ana angalieni Zitto ni nani, tena anakwenda kuteuliwa mbunge wa kuteuliwa kwenye zile nafasi 10 za uteuzi za JPM, linganisha makamanda waliosimamia kutimuliwa kwa Zitto!. https://www.jamiiforums.com/threads...ie-mkajisahau-jiandaeni-kwa-karma.822703/Hiyo ni mifano ya dhambi ya dhana ya usaliti inavyoendelea kuitafuna Chadema ndani kwa, ndani, hapo sijamtaja Dr. Slaa, hadi watu kumuita Dr. Mihogo!, leo angalia waliombeza Dr. Slaa wako wapi, ulinganishe na mahali Dr. Slaa alipo!, haiwezekani watu na makamanda wameipigania Chadema kwa kuigharimikia kwa Machozi, Jasho na Damu, halafu leo uje uwaite wasaliti na kuwatimua kama mbwa!, kamwe Karma haiwezi kuacha salama Chadema!.

Leo Kangaroo court ya Chadema inakutana kumhukumu Halima na wenzake, ndani ya majina yale 19 ya wabunge wa viti maalum wa Chadema, walioapishwa, wabunge 5 ni 'vidumu' vya wajumbe wa CC ya Chadema ambao sio vile 'vidumu' vya 'mpango kando', no!, ni vidumu vya co habitation, mnaishi nyumba moja, mnalala chumba kimoja, kitanda kimoja!, huku mkiishi katika dhana ya ndoa, na kila mtu anawatambua kama mke na mume!, haiwezekani mwenza wako, akaibukia kwenye majina ya viti maalum bila wewe kujua, kilasha akaamkia bungeni dodoma kuapishwa bila wewe, kujua!, namhurumia sana KM. JJ. Nnyika ni mtu muadilifu sana, lakini hajui, the games people plays!.

Miaka mingi nyuma nililizungumzia Chadema kuwa na kirusi, CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
Sasa miaka mingi imepita nikajua sasa Chadema ni safi, kumbe bado!, na sio kuna kirusi, Chadema ina virusi!. Kikulacho...ki nguoni mwako!.

Naomba kuwa mtu wa kwanza kukujulisha kuwa JPM, anaweza kila kitu!, Japo Tanzania hatuna serikali ya mseto, kama aliweza kumteua Anna Mngwira na Prof. Kitila, wakiwa ACT, kwenye baraza lake la mawaziri, hawezi kushindwa kuwateua Mdee na Esta Bulaya, manaibu mawaziri katika serikali yake na sisi huku bara tukaunda serikali ya umoja wa kitaifa!.

Wish Halima and her team, all the best, kama wataandibiwa kwa kuukataa ujinga!, Karma itawashughulikia watesi wao, na kuwa elevate machoni pa watesi wao!.

Mungu Ibariki Chadema at least for once iweze kutenda haki, kuepuka adhabu ya karma, maana kiukweli Chadema hapo ilipo, ni almost dead kinachosubiri ni kukomelea tuu msumari wa mwisho kwenye naniliu la Chadema na kulishusha 6ft under!. The choice is theirs!

Mungu Ibariki Tanzania!.

Paskali
P. Asante sanaaaa kwa ufafanuzi
 
Mayala endelea kusherehesha watu. Kama karma ipo, basi itaanza na wewe kwa kuisailiti nafsi na utu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona unaonewa huruma/ unasifiwa na adui yako jiulize saaaaana mswali kichwani mwako
 
The fact kwamba leo Pascal kawa mtetezi mkuu wa kina Mdee inatia shaka sana. Imekuwaje na iweje leo Mayalla awe ndio mtetezi wao? Sijui huu ni uzi wa ngapi umeanzisha kuhusu hili, Kunani nyuma ya hili?
 
CHADEMA Wako kwenye mitihani sana , ni wazi kuwa watesi wao wanafurahia UCHONGANISHI waliowafanyia ....na wanaona kabisa hawachomoki...., leo wanatakiwa watoe maamuzi ya busara kwakuwa uamuzi wa kuwafukuza utashangiliwa na wana CCM na uamuzi wa kuwabakiza pia utatumiwa kuchochea kuni na wana CCM ....

Kiukweli demokrasia nchini iko kwenye mtihani mkubwa sana ....hakuna shaka kuwa hawa wanamama ni wana chadema kwa moyo kabisa lakini bahati mbaya wamenasishwa kwenye mtego na watesi wao pamoja na chama chao
Mwishowe ni muhimu sana hao wanawake wafukuzwe kwa chadema ya baadaye. Kukubaliana na viti maalum ni inconsistency kwa madai yao ya uchaguzi kuvurugwa.
 
#@ Pascal Mayalla ,
Tunatambua huna ulichobakiza kwenye kichwa chako zaidi ya uchonganishi, unafiki na kujikomba ili upate cheo...

Platform hii unaitumia ipasavyo kipropaganda na kupata ujira usio na haki
Kwa kusaliti harakati za watanzania kujikomboa na kujiletea maendeleo

Legacy umeipoteza punde utabaki kama takataka ccm tunawajua waulize wenzio kina nape makonda wamepotea kwenye mioyo ya watanzania
 
Mdee amepata tabu sana miaka miwili au mitatu hii kwa ajili ya uchadema wake
Mdee amekaa mahabusu,mdee ana vimeo kibao mahakamani,mdee amefungiwa bungeni mwaka mzima yote kwa sababu ya misimamo ya kichadema,halafu eti sisimizi tu wanamuita mdee msaliti
Kuna watu walijifanya makamanda lakini wamekimbia nchi wanakula kuku kwa mrija na familia zao,Mdee hakuthubutu kukimbia,leo anatekeleza sheria mnamuita msaliti,laana ya Dr Slaa izidi kuwaangamiza
Umeongea jambo la mhimu sana na unatumia akili nyingi sana, niwakumbushe tu hawa chadema wakijidanganya kuwafukuza jamii haitakaa iwaamini tena, hapo jamii itaanza kuyaamini yale maneno yaliyo semwa na Lijua likali na wenzake, pia watakosa uwanja wa kusikika ndani ya miaka 5 hivyo watakua na wakati mgumu sana, maana huenda wakasahaliuka masikioni mwa watu. Niushauri tu wawaache kabisa hao wakina mama walitumikie taifa.
 
CHADEMA Wako kwenye mitihani sana , ni wazi kuwa watesi wao wanafurahia UCHONGANISHI waliowafanyia ....na wanaona kabisa hawachomoki...., leo wanatakiwa watoe maamuzi ya busara kwakuwa uamuzi wa kuwafukuza utashangiliwa na wana CCM na uamuzi wa kuwabakiza pia utatumiwa kuchochea kuni na wana CCM ....

Kiukweli demokrasia nchini iko kwenye mtihani mkubwa sana ....hakuna shaka kuwa hawa wanamama ni wana chadema kwa moyo kabisa lakini bahati mbaya wamenasishwa kwenye mtego na watesi wao pamoja na chama chao
Mkuu,
Hichi ulichosema ndicho hasa niniachokiona kikiendelea.
Chadema wanahitaji kupata ushauri, washauri wawe watu wanaojitambua na wanaojuwa nje ndani ya kinachoendelea kwenye siasa za Tanzania. Washauri wasiwe bias na upande wa chama chochote including chama chao wenyewe! Washauri wasiwe wana CCM kama kina Pascal Mayalla. Washauri wawe smart na analytical people.
CHEDEMA wasitowe uamuzi kwa kufuata pressure ya wanasiasa au pressure ya wanachama wenye hasira. Hakuna asiejuwa kwamba ni kweli CHADEMA wamebamikizwa na ukuta na kwa kweli ni ngumu hata kuvuta pumzi! Ni wakati wa wao kujikusanya upya kuona hali inayowakabili na kuamua kitakachookoa jahazi.
 
Ngugu yetu Njaa yaani Mayala , huu ndyo uzi mbovu umewahi kuandika ktk kuumaliza mwka huu 2020 , ila nisiseme mengi nikakengeuka kama wewe.
 
Although I haven't read your now familiar lengthy and boring comment, I think it's an utter rubbish and ask myself since when did you become a prophet.

You don't speak of your karma to the one who is responsible for the disappearance, kidnapping, torture and wounding of other innocent lives but you speak of the traitors who've been bribed to betray the people's cause.

You've resorted to writing nonsensical articles ostensibly to appease the dictator to remember you when he will be making political appointments. Surely you've been a poor excuse for a journalist.
 
Umeongea jambo la mhimu sana na unatumia akili nyingi sana, niwakumbushe tu hawa chadema wakijidanganya kuwafukuza jamii haitakaa iwaamini tena, hapo jamii itaanza kuyaamini yale maneno yaliyo semwa na Lijua likali na wenzake, pia watakosa uwanja wa kusikika ndani ya miaka 5 hivyo watakua na wakati mgumu sana, maana huenda wakasahaliuka masikioni mwa watu. Niushauri tu wawaache kabisa hao wakina mama walitumikie taifa.
Ushauri wenu kaeni nao. Mlishindwaje kumsamehe Membe.
 
Back
Top Bottom