OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
platform na ulowataja ni nuksi ukija kwenye suala la kuiunganisha jamii 🐒Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Usiwakatie tamaa sana , elimu tunayoitoa inaanza kuelewekaThubutu🐼
😆😆😆😆 ukivuka usisahau kurudi na PrimusHii TUKINUKISHE ..na kibunda changu huko NSSF kingenisaidia hapa Ikola kuongeza mtaji wa kuvusha Balimi Congo Kalemiee...mijamaa imevimba nazo kama zao
Mstaafu Jo,kikokotoo hakija kunyonga🤓Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Muwachukue na Makonda wa Daladala wote 😂😂Wahasibu tutashiriki.
Wafanyakazi waoga kama nini, walimu ndio usisee, wengi wa walimu ni makada wa CCMNaona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Kuna watu wazito sana siku moja walisema kama chadema atasimami ichi kikotoo 2025 mapema sana chadema wanabeba nchi , sasa sikujua yalikua ni mawazo yao binafsi au ni maono katika taasisi zao ,kikokotoo ni uhuni wa serikali ya ccm,Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Nakuonya usithubutu kumtetea mtanzania kwani utajikuta uko pekeyako mahakamani unaowatetea wamesepa.Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Maandamano ya Watumishi wa umma hayasimamiwi na Vyama vya SIASA ila vyama vya WAFANYAKAZI (TUCTA)Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Duuuuh!!! Mbona hatari sana hiyo [emoji24][emoji24]Na hawa polisi kinawamiza kweli maana kuambulia milioni 17,18 na 19 ni jambo la kawaida sana