King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Naipenda sana hii biashara.Hii TUKINUKISHE ..na kibunda changu huko NSSF kingenisaidia hapa Ikola kuongeza mtaji wa kuvusha Balimi Congo Kalemiee...mijamaa imevimba nazo kama zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipenda sana hii biashara.Hii TUKINUKISHE ..na kibunda changu huko NSSF kingenisaidia hapa Ikola kuongeza mtaji wa kuvusha Balimi Congo Kalemiee...mijamaa imevimba nazo kama zao
Wafanyakazi wengine wataunga mkono isipokuwa wafanyakazi wafu, yaani walimu. CC Mpwayungu VillageNaona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.
Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?